Damaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 3,978
- 6,739
Isiyo na kifani ghadhabu hiyo hutokea mara nyingi kwasababu hakuna mtu anaependa dharau abadan
Abadan CCM hawatakuja kulala kwa amani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Isiyo na kifani ghadhabu hiyo hutokea mara nyingi kwasababu hakuna mtu anaependa dharau abadan
Amani hawawezi kuipata kwasababu na wao wanahofia mtafarukuAbadan CCM hawatakuja kulala kwa amani
Mtafaruku mkubwa utatokea pindi raia wengi wakijua haki zaoAmani hawawezi kuipata kwasababu na wao wanahofia mtafaruku
Mtafaruku mkubwa utatokea pindi raia wengi wakijua haki zao
Nalog off
Upendo na amani vidumu kati yetu daimaZao bora la amani ni upendo
Daima ntakua na furaha kwa upendo wako kwangu[emoji847]Upendo na amani vidumu kati yetu daima
Daima ntakua na furaha kwa upendo wako kwangu[emoji847]
Safi roho ni pendezo mbele za MunguKwangu sina bifu na mtu na roho yangu ni safi
Mungu mwenyezi akuzidishie barakaSafi roho ni pendezo mbele za Mungu
Baraka ziwe kwetu piaMungu mwenyezi akuzidishie baraka
Pia kwa wote wanamwabudu na kumtegemeaBaraka ziwe kwetu pia
Kumtegemea binaadamu ni kitu kibaya sanaPia kwa wote wanamwabudu na kumtegemea
Sana, na hakifai kuendekezwa kwa namna yoyote ileKumtegemea binaadamu ni kitu kibaya sana
Ile simu imepasukaSana, na hakifai kuendekezwa kwa namna yoyote ile
Imepasuka baada ya kuangukaIle simu imepasuka
Mpasuko uliopo ccm unatia matumaini
Kuanguka kwa utawala wa kidikteta kumekaribiaImepasuka baada ya kuanguka
Nalog off
Kumekaribia sana kwa kweli,sio sawa kabisa kujinadi kuwa tutanunua magari kutoka Rwa nda ni aibuKuanguka kwa utawala wa kidikteta kumekaribia
Aibu kwa ccm na serikali yaoKumekaribia sana kwa kweli,sio sawa kabisa kujinadi kuwa tutanunua magari kutoka Rwa nda ni aibu
Nalog off