Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Tena siri batili ila kuaminiana kupo kwa maswahibaSiri ni ya watu wawili, akiongezeka watatu hiyo si siri tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena siri batili ila kuaminiana kupo kwa maswahibaSiri ni ya watu wawili, akiongezeka watatu hiyo si siri tena
Maswahiba wanaelewana kwa vilembaTena siri batili ila kuaminiana kupo kwa maswahiba
Vilemba nyie wanawake mnawaiga waarabu !!Maswahiba wanaelewana kwa vilemba
Waarabu wengi wameshika diniVilemba nyie wanawake mnawaiga waarabu !!
Dini ni mpango wa binadamu lakini imani ndio mpango wa Mungu.Waarabu wengi wameshika dini
Mungu hashindwi na jamboDini ni mpango wa binadamu lakini imani ndio mpango wa Mungu.
Jambo la msingi ni upendoMungu hashindwi na jambo
Upendo wa Mungu umezidi kipimo
Kipimo cha urafiki,ukipata shidaUpendo wa Mungu umezidi kipimo
Dini ni imaniWaarabu wengi wameshika dini
Imani yangu na yako haifananiDini ni imani
Imani yangu mkuu Chimbekeha hujafata utaratib wa mchezoDini ni imani
Mchezo nilikuwa nacheza peke yanguImani yangu mkuu Chimbekeha hujafata utaratib wa mchezo
Yangu macho, ngoja tuangalie hili sakata la Chanjo Bungeni litakavyomalizikaMchezo nilikuwa nacheza peke yangu
Litakavyomalizka itakuwa kila mbunge kupatiwa chanjo ya Johnson & Johnson...Yangu macho, ngoja tuangalie hili sakata la Chanjo Bungeni litakavyomalizika
Johnson Kwa Kiswahili ni mtoto wa kiume wa YohanaLitakavyomalizka itakuwa kila mbunge kupatiwa chanjo ya Johnson & Johnson...
Kristo amefufuka haleluyaYohana alimbatiza Yesu kristo
Haleluya Mungu apewe sifaKristo amefufuka haleluya
Sifa za uongo ndio zimmfikisha hapo alipoHaleluya Mungu apewe sifa