Shughuli za Harusi zinapungua miaka hiiKutulinda usiku na mchana ni shughuli
Shughuli za Harusi zinapungua miaka hii
Haifananishwi, hivi hapo kuna baridi kuliko Afrika kusini?Hii baridi ya leo hapa mwakaleli haifananishwi!
Kusini mwaJangwa linafukuta joto kali....Haifananishwi, hivi hapo kuna baridi kuliko Afrika kusini?
Kali zaidi ya yote ni kwamba jangwani maji ni bidhaa adimu lakini kuna miti yenye kustahamili ukame kama mitende, inastawi vizuri sana.Kusini mwaJangwa linafukuta joto kali....
Sana miti yenye kuvuna gundi na tende yemestawi kwetu shambani..Kali zaidi ya yote ni kwamba jangwani maji ni bidhaa adimu lakini kuna miti yenye kustahamili ukame kama mitende, inastawi vizuri sana.
Shambani kwake Mzee Mzee amepanda mikaratusi tupu!Sana miti yenye kuvuna gundi na tende yemestawi kwetu shambani..
Tupu yako haitakiwi kuonekana hadharaniShambani kwake Mzee Mzee amepanda mikaratusi tupu!
Hadharani hapafichwi siri.Tupu yako haitakiwi kuonekana hadharani
Siri ni ya mtu mmojaHadharani hapafichwi siri.
Mmoja wetu amepatwa na fedheha huko uraiani..Siri ni ya mtu mmoja
Uraiani kuna vuguvugu la tozo za miamalaMmoja wetu amepatwa na fedheha huko uraiani..
Tozo mpya ya miamala ni uonevu Kwa raiaUraiani kuna vuguvugu la tozo za miamala
Raia wenyewe wamekubali wala hawana shidaTozo mpya ya miamala ni uonevu Kwa raia
Nalog off
Shida ipo ila unyonge umewazidiRaia wenyewe wamekubali wala hawana shida
Umewazidi ndio maana wanaonewaShida ipo ila unyonge umewazidi
Nalog off
Wanaonewa kwasababu hawajielewiUmewazidi ndio maana wanaonewa
Hawajielewi wamekua mazombiWanaonewa kwasababu hawajielewi
Nalog off
Mazombi ni jina walilolitoa wazungu kwa kuwadharau watu weusi wa huko RD Congo waliokuwa wakimwamini Mungu wao aliyeitwa Zambi. Hii haikubalikiHawajielewi wamekua mazombi
Haikubaliki na wengi tozo mpya ya miamalaMazombi ni jina walilolitoa wazungu kwa kuwadharau watu weusi wa huko RD Congo waliokuwa wakimwamini Mungu wao aliyeitwa Zambi. Hii haikubaliki
Nalog off