Saba ni namba anayopendelea kuvaa mreno Cristiano RonaldoMbususu ni msamiati wenye herufi saba
Ronaldo kwangu ni mchezaji boraSaba ni namba anayopendelea kuvaa mreno Cristiano Ronaldo
Bora kwa zamani, sasa hivi zama zake zimekwishaRonaldo kwangu ni mchezaji bora
Afghanstan hapana labda burundiTwende Afaghanistan
Zimekwisha kwa sababu kila jambo lina mwishoBora kwa zamani, sasa hivi zama zake zimekwisha
Mwisho wa kila Jambo huwa lina tafsiri uhalisia...Zimekwisha kwa sababu kila jambo lina mwisho
Uhalisia wa maisha ya MtanzaniaMwisho wa kila Jambo huwa lina tafsiri uhalisia...
Mtanzania mweke pembeni hebu tuvuke bahari..Uhalisia wa maisha ya Mtanzania
Bahari ina mawimbi na misukosukoMtanzania mweke pembeni hebu tuvuke bahari..
Misukosuko huleta taharuki na tashtiti ...Bahari ina mawimbi na misukosuko
Taharuki na tashtiti husababishwa na viongozi wasiojielewaMisukosuko huleta taharuki na tashtiti ...
Wasiojielewa siku zote nashangaa waliwezaje kupata nafasi za Uongozi!Taharuki na tashtiti husababishwa na viongozi wasiojielewa
Nalog off
Uongozi wa sikuhizi wengi wanapeana tu bila kujali sifa wala vigezoWasiojielewa siku zote nashangaa waliwezaje kupata nafasi za Uongozi!
Vigezo vinapokosekana matokeo yake ndio hayo sehemu nyeti kujaa mamlukiUongozi wa sikuhizi wengi wanapeana tu bila kujali sifa wala vigezo
Mamluki nao hua hawakosekani sehemu kama hizoVigezo vinapokosekana matokeo yake ndio hayo sehemu nyeti kujaa mamluki
Hizo sehemu wengi wetu tunazililiaMamluki nao hua hawakosekani sehemu kama hizo
Tunazililia na kuzitamani ila ndio hivyo tunaishia kula kwa machoHizo sehemu wengi wetu tunazililia
Macho yangu humwelekea Bwana daimaTunazililia na kuzitamani ila ndio hivyo tunaishia kula kwa macho
Daima na milele nitakua mwaminifu kwakeMacho yangu humwelekea Bwana daima
Kwake yeye ndio kimbilio la woteDaima na milele nitakua mwaminifu kwake