Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Vyakula vinaendana na walajiLadha ni muhimu kwa vyakula
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vyakula vinaendana na walajiLadha ni muhimu kwa vyakula
Walaji hamna siku hiziVyakula vinaendana na walaji
Walaji ni ladha inafanyanga wapende vyakula zingineVyakula vinaendana na walaji
Siku hizi wanakula kimasiharaWalaji hamna siku hizi
Zingine hazifaiWalaji ni ladha inafanyanga wapende vyakula zingine
Kimaskhara mara wamesafisha mtaro!Siku hizi wanakula kimasihara
Vyakula zingine zinapatikanaga Kenya...Walaji ni ladha inafanyanga wapende vyakula zingine
Kenya ni marirani zetu mkuuVyakula zingine zinapatikanaga Kenya...
Kimasihara masihara umelal masikini umeamka tajiriSiku hizi wanakula kimasihara
Tajiri wa rangi ni kinyongaKimasihara masihara umelal masikini umeamka tajiri
Kinyonga haileweki ni mdudu anaebadilika badilikaTajiri wa rangi ni kinyonga
Badilika kulingana na mazingiraKinyonga haileweki ni mdudu anaebadilika badilika
Badilika ndg. Super mambo yako yatakuponzaKinyonga haileweki ni mdudu anaebadilika badilika
Mazingira tatanishi ndiyo kisingizio cha uchunguzi...Badilika kulingana na mazingira
Uchunguzi ukikamilika kesi inaanzaMazingira tatanishi ndiyo kisingizio cha uchunguzi...
Inaanza kukera mtu kuanza na text ya juu huko inavuruga utaratibu na kuondoa ladha![emoji848]Uchunguzi ukikamilika kesi inaanza
Ladha ya chakula anaijua mlajiInaanza kukera mtu kuanza na text ya juu huko inavuruga utaratibu na kuondoa ladha![emoji848]
Mlaji wa viporo hajulikani...Ladha ya chakula anaijua mlaji
Hajulikani aliyempiga lisu risasi,Mlaji wa viporo hajulikani...
Risasi haziui kama kifo chako badoHajulikani aliyempiga lisu risasi,