Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Huru ya kujiachia huwa nikiwa fukweni zanzibarLini tutapata tume huru
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huru ya kujiachia huwa nikiwa fukweni zanzibarLini tutapata tume huru
Tamaa ya kujirimbikizia mali za ummaViongozi wengi wamejaa ubinafsi na tamaa
Zanzibar ni kisiwa cha marashi ya karafuuHuru ya kujiachia huwa nikiwa fukweni zanzibar
Karafu mbili ukimungunya kinywani itakuburudisha..Zanzibar ni kisiwa cha marashi ya karafuu
Itakuburudisha ukiongeza na urojoKarafu mbili ukimungunya kinywani itakuburudisha..
Umma wenyewe umeridhikaTamaa ya kujirimbikizia mali za umma
Umeridhika wap? Unaburuzwa kwa kukosa uelewaUmma wenyewe umeridhika
Umeridhika kwa kuwa AMANI imeshadidia na inaimarika kila corner na pembezoni..Umma wenyewe umeridhika
Uelewa wa wengi ni mdogo kwa kukosa elimuUmeridhika wap? Unaburuzwa kwa kukosa uelewa
Corner zote za nyumba zimezingirwa na askariUmeridhika kea kuwa AMANI imeshadidia na inaimarika kila corner na pembezoni..
Elimu itolewe ili kila mwanainch ajue haki zakeUelewa wa wengi ni mdogo kwa kukosa elimu
Elimu ni heshima ya binadamu anapoitumiaUelewa wa wengi ni mdogo kwa kukosa elimu
Zake fikra ni finyu sanaElimu itolewe ili kila mwanainch ajue haki zake
Anapoitumia itazaa maarifaElimu ni heshima ya binadamu anapoitumia
Maarifa yakizidi akili mparaganyo utadhihiriAnapoitumia itazaa maarifa
Sana hasa wakati huu akiwepo madarakaniZake fikra ni finyu sana
Madarakani ni raha sana unapotoa tamko huitikiwa ...Sana hasa wakati huu akiwepo madarakani
Tamko huitikiwa kama linaelewekaMadarakani ni raha sana unapotoa tamko huitikiwa ...
Linaeleweka kwa wachache sio woteTamko huitikiwa kama linaeleweka
Wote wanajua kama mimi nampendaLinaeleweka kwa wachache sio wote