HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,563
- 48,223
Bado naendeleaRisasi haziui kama kifo chako bado
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado naendeleaRisasi haziui kama kifo chako bado
Naendelea kufuatilia Kwa umakiniBado naendelea
Umakini wako unahitajika katika kutafuta mafanikio.Naendelea kufuatilia Kwa umakini
Nalog off
Mafanikio huja mtu akifanya shughuli zake kwa bidiiUmakini wako unahitajika katika kutafuta mafanikio.
Mafanikio yanaletwa na bidii na kujitumaUmakini wako unahitajika katika kutafuta mafanikio.
Kujituma siku hizi kumetekwa nyara na Wanawake wa kiTanzania walvyo shupavu na hodari...Mafanikio yanaletwa na bidii na kujituma
Hodari kwa sababu wakiwa tegemezi wananyayasika au kutelekezwaKujituma siku hizi kumetekwa nyara na Wanawake wa kiTanzania walvyo shupavu na hodari...
Kutelekezwa kwa baadhi yao husababishwa na tabia zao za kiburi na majibu ya kebehi.Hodari kwa sababu wakiwa tegemezi wananyayasika au kutelekezwa
Kebehi na kejeri ni upanga wa maneno yanayoweza sababisha vita na maafa !!!!Kutelekezwa kwa baadhi yao husababishwa na tabia zao za kiburi na majibu ya kebehi.
Maafa mengi yamepatikana wakati huu wa covidKebehi na kejeri ni upanga wa maneno yanayoweza sababisha vita na maafa !!!!
Mungu si Athumani, tunapaswa kujitathmini...Covid - 19 ni vita ya kidunia ! Chukua tahadhali [emoji123] tutashinda kwa Uwezo Wa Mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunapaswa kujitathmini ili kupambana naye mwakaniMungu si Athumani, tunapaswa kujitathmini...
Mwakani hakuna uchaguziTunapaswa kujitathmini ili kupambana naye mwakani
Uchaguzi wa kuchagua niniMwakani hakuna uchaguzi
Nini kimesababisha hali kubadilikaUchaguzi wa kuchagua nini
Kubadilika huko huletwa na uzembe wa viongoziNini kimesababisha hali kubadilika
Uchaguzi kati kijana na nyekundu lini?Mwakani hakuna uchaguzi
Lini tutapata tume huruUchaguzi kati kijana na nyekundu lini?
Viongozi wengi wamejaa ubinafsi na tamaaKubadilika huko huletwa na uzembe wa viongozi