Tibalikwenda
JF-Expert Member
- Aug 27, 2020
- 284
- 604
Nchi hii imejaa siasaMwelekeo mzuri upi? Wachache Tanzania wanakula mema ya nchi.
Siasa ni mchezo mchafu kwa kuvaa nguo safi...Nchi hii imejaa siasa
Nguo safi za kulaliaSiasa ni mchezo mchafu kwa kuvaa nguo safi...
Kulalia tumbo baada ya kutoka kula sio nzuri kiafyaNguo safi za kulalia
Sio nzuri kiafya, wasiojua hilo watakuambia wameota Jinamizi linawakabaKulalia tumbo baada ya kutoka kula sio nzuri kiafya
Linawakaba sana watu wa Manchester UnitedSio nzuri kiafya, wasiojua hilo watakuambia wameota Jinamizi linawakaba
Manchester United kesho wanawafuata Wolverhampton Wanderers Ligi Kuu UingerezaLinawakaba sana watu wa Manchester United
Ligi kuu uingereza ndiyo iko na number kubwa ya mashabiki kwa hii duniaManchester United kesho wanawafuata Wolverhampton Wanderers Ligi Kuu Uingereza
Hii Dunia kumbe tamuLigi kuu uingereza ndiyo iko na number kubwa ya mashabiki kwa hii dunia
Tamu tamu ni vitu mbayaHii Dunia kumbe tamu
Mbaya sana dhulumaTamu tamu ni vitu mbaya
Dhuluma ni wimbo waMbaya sana dhuluma
Mutsiya wa Kenya?Dhuluma ni wimbo wa
Nyaiika M. Mutisya
Kenya yetu forums ilituokoa kipindi fulani JF ilipofungiwaMutsiya wa Kenya?
Ilipofungiwa watumiaji wengi walihusisha suala hilo la zuio la Mitandao na Uchaguzi Mkuu 2015Kenya yetu forums ilituokoa kipindi fulani JF ilipofungiwa
2015 Tanzania ilikua na uchaguzi mkuuIlipofungiwa watumiaji wengi walihusisha suala hilo la zuio la Mitandao na Uchaguzi Mkuu 2015
Mkuu Lenie, Uchaguzi ule sitoweza kuusahau, Magufuli alibamba chati kwa pushapu, Arusha walibamba chati kwa kupiga deki barabara2015 Tanzania ilikua na uchaguzi mkuu
Barabara zilijaa kila alipokua akipita, ila bahati mbaya tu baada ya hapo yalitokea mambo ambayo yalikua ni kinyume na matarajio ya wananchiMkuu Lenie, Uchaguzi ule sitoweza kuusahau, Magufuli alibamba chati kwa pushapu, Arusha walibamba chati kwa kupiga deki barabara
Wananchi waliongeza heshima kwa Lowassa alipokatwa CCM na kuja kuweka kambi UKAWABarabara zilijaa kila alipokua akipita, ila bahati mbaya tu baada ya hapo yalitokea mambo ambayo yalikua ni kinyume na matarajio ya wananchi