Tibalikwenda
JF-Expert Member
- Aug 27, 2020
- 284
- 604
Hatari Sana huyu Abriana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Abriana asihukumiwe,alikosea kama binadamu wengine aliposema wingereza badala ya UingerezaHatari Sana huyu Abriana.
Abriana asihukumiwe,alikosea kama binadamu wengine aliposema wingereza badala ya UingerezaHatari Sana huyu Abriana.
Uingereza ni taifa la Ufalme wa kikatiba linalofuata mfumo wa utawala wa bunge.Abriana asihukumiwe,alikosea kama binadamu wengine aliposema wingereza badala ya Uingereza
Bunge letu ni dhaifu.Uingereza ni taifa la Ufalme wa kikatiba linalofuata mfumo wa utawala wa bunge.
Dhaifu kama sabufa wakeBunge letu ni dhaifu.
Dini ya kiislamu ina mawaidha mazuriWake wengi hadi wanne wanaruhusiwa katika dini ya Kiislam.
Dini ya kiislamu ina mawaidha mazuri
Yamepotea kwa sababu ya utawala mbovi usiojali haki na usawaMazuri mengi yaliyokuwepo nchini kwetu kama furaha, upendo, mshikamano na ushirikiano miongoni mwetu sasa yamepotea.
Yamepotea yoteMazuri mengi yaliyokuwepo nchini kwetu kama furaha, upendo, mshikamano na ushirikiano miongoni mwetu sasa yamepotea.
Usawa kwa kila mtuYamepotea kwa sababu ya utawala mbovi usiojali haki na usawa
Mtu kama hamza ameacha historiaUsawa kwa kila mtu
Yamepotea kwa sababu ya utawala mbovi usiojali haki na usawa
Historia hatuwezani nayo lakini tunaweza pigana na wenye wanajaribu kubadilishaMtu kama hamza ameacha historia
Nchi yeyu inapitia nyakati ngumu sanaUsawa hakuna, uhuru hakuna haki hakuna inaudhi na kusikitisha sana kuona huu mwelekeo mbaya wa nchi yetu.
Kubadilisha ni muhimu ili kuendana na nyakati na mazingiraHistoria hatuwezani nayo lakini tunaweza pigana na wenye wanajaribu kubadilisha
Sana sana Manchester United inaweza toka 0-0Nchi yeyu inapitia nyakati ngumu sana
Nchi yeyu inapitia nyakati ngumu sana
Mazingira inahitaji usafiKubadilisha ni muhimu ili kuendana na nyakati na mazingira