Diss Meddy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 590
- 1,291
Kashfa kubwa kama ya Mama j wa YangaWee sema una msongo, tafadhali usichafue uzi huu unaotuunganisha bila kashfa ...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kashfa kubwa kama ya Mama j wa YangaWee sema una msongo, tafadhali usichafue uzi huu unaotuunganisha bila kashfa ...
Mama J wa yanga nimemuona leo Kwa mtandaoKashfa kubwa kama ya Mama j wa Yanga
Mtandao ulikua moto hatariMama J wa yanga nimemuona leo Kwa mtandao
Hatari zaidi inalikaribia taifaMtandao ulikua moto hatari
Taifa gani halijawahi pigana vitaHatari zaidi inalikaribia taifa
Vita vinaleta heshima kwenye taifa lolote litakalopiganaTaifa gani halijawahi pigana vita
Litakalopigana bila Sababu za msingi..Vita vinaleta heshima kwenye taifa lolote litakalopigana
Msingi wenye upana wa mita sabaLitakalopigana bila Sababu za msingi..
Sababu ya msingi Watanzania wengi wameanza kuiona na kuthibitisha maneno ya JPM kwamba ni kweli kabisaMsingi wenye upana wa mita saba
Kabisa na kilichobaki ni kumbukumbu zakeSababu ya msingi Watanzania wengi wameanza kuiona na kuthibitisha maneno ya JPM kwamba ni kweli kabisa
Zake na zetu ni vitu mbili tofautiKabisa na kilichobaki ni kumbukumbu zake
Tofauti ya masaa DunianiZake na zetu ni vitu mbili tofauti
Duniani kuna mengi sana ya kushangazaTofauti ya masaa Duniani
Kushangaza alichokifanya shangaziDuniani kuna mengi sana ya kushangaza
Shangazi ni dada wa babaKushangaza alichokifanya shangazi
Baba anampenda mamaShangazi ni dada wa baba
Mama anatudai deni lisililipika kamwe...Baba anampenda mama
Kamwe huwezi kumlipa hata kwa gharama ya maisha yakoMama anatudai deni lisililipika kamwe...
Yako mambo siwezi weka hadharani....Kamwe huwezi kumlipa hata kwa gharama ya maisha yako
Weka hadharani tukusaidieYako mambo siwezi weka hadharani....