Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,229
- 50,144
Huu ni muda wa kulalaNawe ulale na Mungu usiku huu
Nalog off
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ni muda wa kulalaNawe ulale na Mungu usiku huu
Nalog off
Kulala mapema ni uzembeHuu ni muda wa kulala
Uzembe ni dalili za uvivuKulala mapema ni uzembe
Nalog off
Uvivu ukilisoma mbele nyuma linasomeka hivyohivyo uvivuUzembe ni dalili za uvivu
Uvivu ni adui mkubwaUvivu ukilisoma mbele nyuma linasomeka hivyohivyo uvivu
Nalog off
Mkubwa nakusalimia, ni kitambo sijakuonaUvivu ni adui mkubwa
Sijakuona wewe kama siku mbili au tatu hivi, mimi nipo.Mkubwa nakusalimia, ni kitambo sijakuona
Nguvu na muda mwingi nilitumia katika majukumu, ila nimefurahi kukuonaSijakuona wewe kama siku mbili au tatu hivi, mimi nipo.
Umepotea Mdau wangu wa nguvu
Kukuona na wewe nimefurahi pia, Muumba ni mwema siku zoteNguvu na muda mwingi nilitumia katika majukumu, ila nimefurahi kukuona
Zote hizi unazoziona hapa zimekosa watejaKukuona na wewe nimefurahi pia, Muumba ni mwema siku zote
Wateja wasumbufuZote hizi unazoziona hapa zimekosa wateja
Wasumbufu kwa kipind hiki ni wale wanaosema tuchanjwe....Wateja wasumbufu
Tuchanjwe ili tuboreshe kinga ya miili yetuWasumbufu kwa kipind hiki ni wale wanaosema tuchanjwe....
Yetu macho sababu wengine wanasubiri matokeo ya chanjoTuchanjwe ili tuboreshe kinga ya miili yetu
Chanjo imebadilishwa kule ZanzibarYetu macho sababu wengine wanasubiri matokeo ya chanjo
Zanzibar beautiful island in ÁfricaChanjo imebadilishwa kule Zanzibar
Africa is the world's second-largest and second-most populous continentZanzibar beautiful island in África
Nalog off
Continent zipo ngapi?Africa is the world's second-largest and second-most populous continent
Ngapi? Nadhani ni sabaContinent zipo ngapi?
Ngapi zimeonyeshwa kwenye ramani na ngapi zina hali ya hewa ya baridiContinent zipo ngapi?