Wachawi kiboko yao ni yesu kristo aliye haiZitatusaidia kuwakimbiza wachawi
Nalog off
Aliye hai hafanani na aliyeuliwa na warumi
Warumi apumzike salama.Aliye hai hafanani na aliyeuliwa na warumi
Nalog off
Apumzike salama Baba J wa kundi lá jagwa music
Music ndo maisha yangu, hivi mkuu hiyo pua ni yako peke yako, ama mpo wawili hapo?Apumzike salama Baba J wa kundi lá jagwa music
Nalog off
Hapo nipo peke yangu. Hii pua inanisaidia kunusa harufu ya minuso ya weekendMusic ndo maisha yangu, hivi mkuu hiyo pua ni yako peke yako, ama mpo wawili hapo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Weekend unapaswa kutulia tulii...Hapo nipo peke yangu. Hii pua inanisaidia kunusa harufu ya minuso ya weekend
Nalog off
Tulii kama maji ndani ya mtungiWeekend unapaswa kutulia tulii...
Nchini Tanzania kuna kuna wezi sanaMtungi ndiyo Jaji na msajili wa vyama vya siasa nchini..
Wezi sana hupatikana huko ghaibuni ktk ulimwengu wa kwanza na wa pili...
Wa kwanza na wa pili wote ni washindiWezi sana hupatikana huko ghaibuni ktk ulimwengu wa kwanza na wa pili...
Washindi walichuana kufa na kupona hadi kunyakuwa ubingwa..Wa kwanza na wa pili wote ni washindi
Ubingwa wa mwaka huu utakwenda kwa arsenalWashindi walichuana kufa na kupona hadi kunyakuwa ubingwa..
Arsenal ni jina la mzinga au kombora la kizamani..Ubingwa wa mwaka huu utakwenda kwa arsenal
Kizamani ilikua wadada wanaficha mwili kwa nguo mpaka chiniArsenal ni jina la mzinga au kombora la kizamani..
Chini ya kitanda ndiyo sehemu ya kutunza viatu kwa mabachelaKizamani ilikua wadada wanaficha mwili kwa nguo mpaka chini
Mabachela hatulali tunakesha mpaka majogooChini ya kitanda ndiyo sehemu ya kutunza viatu kwa mabachela
Majogoo ya mjini ni mazezeta sana, yanawika hata saa 6 usikuMabachela hatulali tunakesha mpaka majogoo