Theb
JF-Expert Member
- Jan 25, 2019
- 3,927
- 7,276
Usiku kama huu hakuna kelele mitaaniMajogoo ya mjini ni mazezeta sana, yanawika hata saa 6 usiku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiku kama huu hakuna kelele mitaaniMajogoo ya mjini ni mazezeta sana, yanawika hata saa 6 usiku
Mitaani baada ya miezi miwili kutajaa watoto wa kidato cha nneUsiku kama huu hakuna kelele mitaani
Mimi nasema wezi wamejaa hapa nchini kwetu, wewe unasema wezi wanapatikana huko ughaibuni.... Mkuu hapa unatufunga kamba.Wezi sana hupatikana huko ghaibuni ktk ulimwengu wa kwanza na wa pili...
Cha nne ndio kinatagutwa mida hii kuendeleaMitaani baada ya miezi miwili kutajaa watoto wa kidato cha nne
Kuendelea na huyu Mzanzibar bora tufanye uchaguzi mapemaCha nne ndio kinatagutwa mida hii kuendelea
Imetubana ila lazima kuifumuaMapema haiwezekani maana katiba inatubana
Kuifumua uliyoifuma mpaka uwe na sababu fikirishi.Imetubana ila lazima kuifumua
Fikirishi juu ya hali ya maisha tozo zimetukamataKuifumua uliyoifuma mpaka uwe na sababu fikirishi.
Zimetukamata kama kawaidaFikirishi juu ya hali ya maisha tozo zimetukamata
Kawaida tumezizoea tayariZimetukamata kama kawaida
Tayari nimepata Pisi ya KuoaKawaida tumezizoea tayari
Kuoa tutatimiza baadae tule ujana kwanzaTayari nimepata Pisi ya Kuoa
Tayari nishafanya ulivyo kuwa unatakaKawaida tumezizoea tayari
Kwanza wewe ni kibaka mzoefuKuoa tutatimiza baadae tule ujana kwanza
Unataka kusema keo juma ngapi.?Tayari nishafanya ulivyo kuwa unataka
Ngapi uko nazo ni kuuzie shambaUnataka kusema keo juma ngapi.?
Mzoefu ww c ndio master wangu
Shamba ninalo kesho naenda kulilimaNgapi uko nazo ni kuuzie shamba
Kulima karanga ni vyemaShamba ninalo kesho naenda kulilima