Cytochrome p450
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 5,638
- 15,044
Mchuzi wa pweza
Mikia ya mbuzi imebinuka juuPweza ana mikia
Mkia unatoa supu muruaPweza ana mikia
Juu ya mti kuna matundaMikia ya mbuzi imebinuka juu
Matunda ni bora kwa afya ya mwanadamuJuu ya mti kuna matunda
Mwanadamu na binadamu ipi tofautiMatunda ni bora kwa afya ya mwanadamu
Tofauti ni hayo maneno. Waalimu wa ngeli za maneno mkuje hapa muelezee hiliMwanadamu na binadamu ipi tofauti
Hili gem la Maleo bus simulator nalipendaTofauti ni hayo maneno. Waalimu wa ngeli za maneno mkuje hapa muelezee hili
Nalipenda tunda poriHili gem la Maleo bus simulator nalipenda
Pori la muyoyosi lipo kigomaNalipenda tunda pori
Kigoma mwisho wa reliPori la muyoyosi lipo kigoma
Reli ya kisasa inakamilika morogoroKigoma mwisho wa reli
Reli ya kisasa inakamilika morogoro
Morogoro ni mji kasoro bahariReli ya kisasa inakamilika morogoro
What a coincidenceMorogoro ndio mji kasoro bahari
Coincidence ni mchuzi wa kambaleWhat a coincidence
Coincidence kizungu mama sie wa kukimbia umandeWhat a coincidence
Kambale wa wapi huyoCoincidence ni mchuzi wa kambale
Umande tena wa masikaCoincidence kizungu mama sie wa kukimbia umande
Masika nayo sio coincidence yapo kila majira yakeUmande tena wa masika