bway hermit
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 1,337
- 2,339
Huyo aloandika kiingereza kanichanganya mpaka nimepata Huzuni Ada yangu Imeenda bureKambale wa wapi huyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo aloandika kiingereza kanichanganya mpaka nimepata Huzuni Ada yangu Imeenda bureKambale wa wapi huyo
Bure wakati unajua kutumia smartphoneHuyo aloandika kiingereza kanichanganya mpaka nimepata Huzuni Ada yangu Imeenda bure
Majira yake tunasubia kula mahindi ya kuchomaMasika nayo sio coincidence yapo kila majira yake
Bure ni gharama kuliko gharama yenyeweHuyo aloandika kiingereza kanichanganya mpaka nimepata Huzuni Ada yangu Imeenda bure
Kuchoma sio matamu kama ya mchemshoMajira yake tunasubia kula mahindi ya kuchoma
@Janja weed yupo onlineSmartphone ni simu janja
Mchemsho wa mbuzi siupendiKuchoma sio matamu kama ya mchemsho
Mchemsho wa mbuzi siupendi
Uongo kwa kizungu niSiupendi uongo
Ni kweli amefumaniwaUongo kwa kizungu ni
Mchemsho wa mbuzi siupendi
Single au albumAmefumaniwa kivipi wakati yuko single?
Album ya pepekaleeSingle au album
Single au album
Pepekale aliimba vizuri wimbo uitwao HidayaAlbum ya pepekalee
Pepekale aliimba vizuri wimbo uitwao Hidaya
Sekondari yalikua mapenzi ya utotoHidaya alikuwa mpenzi wangu kipindi nipo sekondari
Sekondari nilikua kiranja wa taalumaHidaya alikuwa mpenzi wangu kipindi nipo sekondari
Raha tupu ilifungiwa enzi za jakayaAlbum ndiyo bomba ikiwa ina debe kali basi ni raha tupu.