Dhahabu hupimwa kwa motoThamani hupimwa kwa dhahabu...
Moto huing'arisha dhahabuDhahabu hupimwa kwa moto
Dhahabu nzuri hung'arishwa kwa moto mkaliMoto huing'arisha dhahabu
Nalog off
Moto mkali umeunguza Ikulu ya nchi jiraniDhahabu nzuri hung'arishwa kwa moto mkali
Ikulu ya nchi jirani kuunguzwa kwa moto kwakweli sijazipata hizi taarifa, lini imetokea?Moto mkali umeunguza Ikulu ya nchi jirani
Nalog off
Imetokea kwenye filamu tu,hakuna ukweliIkulu ya nchi jirani kuunguzwa kwa moto kwakweli sijazipata hizi taarifa, lini imetokea?
Ukweli ukidhihiri upotofu hutoweka...Imetokea kwenye filamu tu,hakuna ukweli
Nalog off
Hutoweka kabisaUkweli ukidhihiri upotofu hutoweka...
Kabisa hatutashinda mechi za kitaifa kama hatubadiliki...Hutoweka kabisa
Nalog off
Hatubadiliki kwasababu hatutaki kubadilikaKabisa hatutashinda mechi za kitaifa kama hatubadiliki...
Kubadilika siyo aibu ni bora kwenda na wakati...Hatubadiliki kwasababu hatutaki kubadilika
Kubadilika siyo aibu ni bora kwenda na wakati...
Hali si hali ktk kila pembe si mchezo si Siasa..Wakati Simba anafungwa kwa Mkapa, Yanga nae hali si hali
Siasa za utopolo zimepelekea majanga NigeriaHali si hali ktk kila pembe si mchezo si Siasa..
Nigeria kaa nayo mbali hao jamaa siyo wa kuzoeana !!Siasa za utopolo zimepelekea majanga Nigeria
Kuzoeana na walimNigeria kaa nayo mbali hao jamaa siyo wa kuzoeana !!
Walimu wa chekechea.Kuzoeana na walim
Walimu wa chekechea.
Bata mzinga wana soko kubwa huko Misri...Chekechea ilikua ni kula bata
Misri kuna mto jordanBata mzinga wana soko kubwa huko Misri...