T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,674
- 29,643
Vizuri sana kama wewe ni mzimaJengo la ushirika lipo vizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vizuri sana kama wewe ni mzimaJengo la ushirika lipo vizuri
Mzima mzima unazama mtoniVizuri sana kama wewe ni mzima
Mtoni kuna mamba wengi.Mzima mzima unazama mtoni
Wengi wamekufa kwa kuendekeza umalayaMtoni kuna mamba wengi.
Umalaya ndo ukahabaWengi wamekufa kwa kuendekeza umalaya
Ukahaba ndio kuuza mechi au tendo la ndoaUmalaya ndo ukahaba
Tendo la ndoa tamuUkahaba ndio kuuza mechi au tendo la ndoa
Tamu likiwa limehalalishwa ila hii zinaa ni chukizo mbele za MunguTendo la ndoa tamu
Tamu likiwa limehalalishwa ila hii zinaa ni chukizo mbele za Mungu
Litapigwa hakika na tutende mema yanayo mpendeza Mungu wetu aliye haiMbelw za Mungu kila goti litapigwa
Litapigwa hakika na tutende mema yanayo mpendeza Mungu wetu aliye hai
Hii furaha ya yanga eti simba kafungwa ni kichekeshoAliye Hai anapaswa kushukuru kwa neema hii
Kichekesho haswa eti visit kili yaani utoHii furaha ya yanga eti simba kafungwa ni kichekesho
Uto aka mapokezi FC watauana mwaka huuKichekesho haswa eti visit kili yaani uto
Mwaka huu wanasema wao uto hawanaga nguvuUto aka mapokezi FC watauana mwaka huu
Nguvu yao ipo katika kuilaumu TFF na bodi ya ligiMwaka huu wanasema wao uto hawanaga nguvu
Bodi ya ligi ni jamvi la lawamaNguvu yao ipo katika kuilaumu TFF na bodi ya ligi
Lawama zao sio njia ya kupandisha viwangi vyaoBodi ya ligi ni jamvi la lawama
Viwango vyao ni vya fb & insta ila si jf wala twitterLawama zao sio njia ya kupandisha viwangi vyao
Twitter napo siku hizi.kama usokitabuViwango vyao ni vya fb & insta ila si jf wala twitter