Jordan alikua anacheza basketball kule marekaniMisri kuna mto jordan
Marekani ni nchi lenye fursa kwa mwenye jitihada na ubunifu...Jordan alikua anacheza basketball kule marekani
Ubunifu Afrika hakuna zaidi tunaigaMarekani ni nchi lenye fursa kwa mwenye jitihada ns ubunifu...
Tunaiga kwa sbb tumesha andaliwa kila kitu bila ya mchango wetu kuhusika.Ubunifu Afrika hakuna zaidi tunaiga
Kuhusika kwetu hakupewi nafasiTunaiga kwa sbb tumesha andaliwa kila kitu bila ya mchango wetu kuhusika.
Nafasi ya tajiri kuuona ufalme wa mbingu ni ngumu mno.Kuhusika kwetu hakupewi nafasi
Mno au mnokoNafasi ya tajiri kuuona ufalme wa mbingu ni ngumu mno.
Mnoko Mama mwenye nyumbaMno au mnoko
Nyumba yangu haina mlangoMnoko Mama mwenye nyumba
Mlango wa mbingu ni mgumu kuupenya.Nyumba yangu haina mlango
Kuupenya sio kazi kama unaishi kwa hofu ya MunguMlango wa mbingu ni mgumu kuupenya.
Mungu ni kimbilio letu.Kuupenya sio kazi kama unaishi kwa hofu ya Mungu
Kimbilio letu ni sheria na katiba tukufu...Mungu ni kimbilio letu.
Tukufu ndio boraKimbilio letu ni sheria na katiba tukufu...
Bora wafao katika bwanaTukufu ndio bora
Bwana ametoa na bwana akitwaa jina lake lihimidiweBora wafao katika bwana
Lihidimiwe milele na milele wote tuseme AMINABwana ametoa na bwana akitwaa jina lake lihimidiwe
Amina anapendeza akivaa gauni refuLihidimiwe milele na milele wote tuseme AMINA
Refu sana lile jengoAmina anapendeza akivaa gauni refu
Jengo la ushirika lipo vizuriRefu sana lile jengo