mamylove
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 1,085
- 1,780
Mapungufu ndio binadamu tumejaliwa kuona hata kama Kuna mazuri mengiMtazamaji huwa haoni faida mara nyingi zaidi ya mapungufu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mapungufu ndio binadamu tumejaliwa kuona hata kama Kuna mazuri mengiMtazamaji huwa haoni faida mara nyingi zaidi ya mapungufu
Mengi yakujifunza kwa waliofanikiwa ni kujua walipo anguka waliinukaje tenaMapungufu ndio binadamu tumejaliwa kuona hata kama Kuna mazuri mengi
Tena ni jambo zuri kujifunza kwa waliofanikiwaMengi yakujifunza kwa waliofanikiwa ni kujua walipo anguka waliinukaje tena
Waliofanikiwa kweli hawana roho za mtima nyongoTena ni jambo zuri kujifunza kwa waliofanikiwa
Dawa nzuri ni ile inayoponyaNyongo ya simba ni dawa
Inayoponya itunzweDawa nzuri ni ile inayoponya
Itunzwe vizuri kwa faida ya kizazi kijachoInayoponya itunzwe
Kijacho kitaleta matumaini muruwa...Itunzwe vizuri kwa faida ya kizazi kijacho
Muruwa sana ukipata moja ya moto moja ya baridiKijacho kitaleta matumaini muruwa...
Baridi ikizidi husababisha ngiri kuzingua ..Muruwa sana ukipata moja ya moto moja ya baridi
Kuzingua kwa wadada wa siku hizi.ndio.mwanzo wa masingo.mazaBaridi ikizidi husababisha ngiri kuzingua ..
Maza mzazi hunyonyesha kichanga muda wa mwaka mmoja..Kuzingua kwa wadada wa siku hizi.ndio.mwanzo wa masingo.maza
Mmoja ukioa hatoshi tuoe wanneMaza mzazi hunyonyesha kichanga muda wa mwaka mmoja..
Wanne ni gumzo kwani ktk kuwaridhisha ni changamoto yenye fedheha...Mmoja ukioa hatoshi tuoe wanne
Fedheha kwa wanaume wasio.na nguvu za kiumeWanne ni gumzo kwani ktk kuwaridhisha ni changamoto yenye fedheha...
Kiume ni kuwa na misimamo ya ukweli na haki thabiti..Fedheha kwa wanaume wasio.na nguvu za kiume
Thabiti ukiwa na uwezo ni ruksa kuoa wengi kwa waislamKiume ni kuwa na misimamo ya ukweli na haki thabiti..
Waislam na wakristo wote ni nduguThabiti ukiwa na uwezo ni ruksa kuoa wengi kwa waislam
Ndugu wa damu kabsaWaislam na wakristo wote ni ndugu