Pesa tunatafuta kwa nguvu zote, cha ajabu tunakuja kuziacha hapa DunianiWanaume tutafute pesa
Duniani tutakuwa tumeweka historia nzuri na zitakuwa faida kwa kizazi cha keshoPesa tunatafuta kwa nguvu zote, cha ajabu tunakuja kuziacha hapa Duniani
Kesho tuna nini cha kujibu mbele ya Muumba wetu?Duniani tutakuwa tumeweka historia nzuri na zitakuwa faida kwa kizazi cha kesho
Wetu mujibu ni kuyatenda yaliyo mema duniani ili tuione pepoKesho tuna nini cha kujibu mbele ya Muumba wetu?
Pepo ni ngumu sanaWetu mujibu ni kuyatenda yaliyo mema duniani ili tuione pepo
Sana asubuhi na mapema nishagonga kiporo changu tayari kuianza siku.Pepo ni ngumu sana
Siku njema huonekana alfajiriSana asubuhi na mapema nishagonga kiporo changu tayari kuianza siku.
Siku njema huonekana alfajiriSana asubuhi na mapema nishagonga kiporo changu tayari kuianza siku.
Alfajiri ambayo mimi nilikuwa nakoromaSiku njema huonekana alfajiri
Nakoroma kwa sababu ya uchovuAlfajiri ambayo mimi nilikuwa nakoroma
Uchovu huo amekusababishia baba chanja usiku wa leoNakoroma kwa sababu ya uchovu
Uchovu huo amekusababishia baba chanja usiku wa leo
Amenichoka wapi sema wewe una makasiriko tu huenda kaona dalili hawezi kusema bila sababu,Leo asubuhi mke wangu kaniamkia anasema napeleka pesa kwa malaya zangu, nimemwambia anipe ushahidi anasema hana.! Anayosema ni kweli lakn hii kashfa siwezi kuvumilia.. Nafikiria kumfungia biashara niliyomfungulia arudi kwao aende akauze miguu, utumbo na vichwa vya kuku kama zamani maana naona amenichoka.
Wangu mwandani, namaanisha mke wangu.. Nampenda sana abadani, sema tatizo lake si msikivu.. Nilishamkataza sana tabia ya kukurupuka katika kufanya maamuzi bila kuwa taarifa za uhakika ila hanisikii.. Namuadhibu sio kwa kosa la kunituhumu ila kwa kosa la kukurupuka kunituhumu bila kujiridhisha... Hiki ni kiburi..Amenichoka wapi sema wewe una makasiriko tu huenda kaona dalili hawezi kusema bila sababu,
awali uliposema mke wangu kaniamkia nikajua kasema shikamoo mme wangu.
Kiburi chake huenda kinachagizwa na wewe,anyway kama unampenda ishi nae, mapungufu yapo kila mahali katika dunia hii.Wangu mwandani, namaanisha mke wangu.. Nampenda sana abadani, sema tatizo lake si msikivu.. Nilishamkataza sana tabia ya kukurupuka katika kufanya maamuzi bila kuwa taarifa za uhakika ila hanisikii.. Namuadhibu sio kwa kosa la kunituhumu ila kwa kosa la kukurupuka kunituhumu bila kujiridhisha... Hiki ni kiburi..
Hii ni lugha ya picha tu Mkuu, trying to express some life principles.. Nothing personal ila kuishi na mtu asiyekusikiliza kazi.. Ninaposema nasema matarajio na matarajio ndipo chaji ilipo..Kiburi chake huenda kinachagizwa na wewe,anyway kama unampenda ishi nae, mapungufu yapo kila mahali katika dunia hii.
Ilipo hoja yangu ni kwamba kama utaendelea au utamkacha ni juu yako.Hii ni lugha ya picha tu Mkuu, trying to express some life principles.. Nothing personal ila kuishi na mtu asiyekusikiliza kazi.. Ninaposema nasema matarajio na matarajio ndipo chaji ilipo..
Ilipo hoja yangu ni kwamba kama utaendelea au utamkacha ni juu yako.
Inapendeza kuona mnapendanaYako hoja ni nzuri sana na inapendeza
Mnapendana sana ika mnatofautiana katika kufanya maamuziInapendeza kuona mnapendana