Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Uchovu huo amekusababishia baba chanja usiku wa leo

Leo asubuhi mke wangu kaniamkia anasema napeleka pesa kwa malaya zangu, nimemwambia anipe ushahidi anasema hana.! Anayosema ni kweli lakn hii kashfa siwezi kuvumilia.. Nafikiria kumuacha kumfungia biashara niliyomfungulia arudi kwao aende akauze miguu, utumbo na vichwa vya kuku kama zamani maana naona amenichoka.
 
Leo asubuhi mke wangu kaniamkia anasema napeleka pesa kwa malaya zangu, nimemwambia anipe ushahidi anasema hana.! Anayosema ni kweli lakn hii kashfa siwezi kuvumilia.. Nafikiria kumfungia biashara niliyomfungulia arudi kwao aende akauze miguu, utumbo na vichwa vya kuku kama zamani maana naona amenichoka.
Amenichoka wapi sema wewe una makasiriko tu huenda kaona dalili hawezi kusema bila sababu,
awali uliposema mke wangu kaniamkia nikajua kasema shikamoo mme wangu.
 
Amenichoka wapi sema wewe una makasiriko tu huenda kaona dalili hawezi kusema bila sababu,
awali uliposema mke wangu kaniamkia nikajua kasema shikamoo mme wangu.
Wangu mwandani, namaanisha mke wangu.. Nampenda sana abadani, sema tatizo lake si msikivu.. Nilishamkataza sana tabia ya kukurupuka katika kufanya maamuzi bila kuwa taarifa za uhakika ila hanisikii.. Namuadhibu sio kwa kosa la kunituhumu ila kwa kosa la kukurupuka kunituhumu bila kujiridhisha... Hiki ni kiburi..
 
Kiburi chake huenda kinachagizwa na wewe,anyway kama unampenda ishi nae, mapungufu yapo kila mahali katika dunia hii.
 
Kiburi chake huenda kinachagizwa na wewe,anyway kama unampenda ishi nae, mapungufu yapo kila mahali katika dunia hii.
Hii ni lugha ya picha tu Mkuu, trying to express some life principles.. Nothing personal ila kuishi na mtu asiyekusikiliza kazi.. Ninaposema nasema matarajio na matarajio ndipo chaji ilipo..
 
Back
Top Bottom