Maamuzi sahihi ni wewe kwenda shuleMnapendana sana ika mnatofautiana katika kufanya maamuzi
Shule za siku hz znawaacha wasomi bila ajiraMaamuzi sahihi ni wewe kwenda shule
Ajira ni ngumu kupatikana na mtaani ni pagumuShule za siku hz znawaacha wasomi bila ajira
Pagumu sana hasa ukikosa connectionAjira ni ngumu kupatikana na mtaani ni pagumu
Connection ndio kila kitu kwa maisha ya sasa hiviPagumu sana hasa ukikosa connection
Hivi ushawahi kuishiwa pesa kweliConnection ndio kila kitu kwa maisha ya sasa hivi
Kweli ni changamoto kubwa ukiwa huna pesaHivi ushawahi kuishiwa pesa kweli
Pesa zinabadili hadi tabiaKweli ni changamoto kubwa ukiwa huna pesa
Tabia kubadilika ni asili ya mtu kwa sababu wengi wanajificha kutokana na maisha wanayoishiPesa zinabadili hadi tabia
Wanayoishi ni siri yao ndo maana wanabadilika wanapopata mkwanjaTabia kubadilika ni asili ya mtu kwa sababu wengi wanajificha kutokana na maisha wanayoishi
Mkwanja sabuni ya rohoWanayoishi ni siri yao ndo maana wanabadilika wanapopata mkwanja
Roho hutakaswa zinapopatikana kwa kiasi cha kutoshaMkwanja sabuni ya roho
Kutosha kwa mwanadamu ni kauli tata kwasababu huwa haturidhiki na tunachopataRoho hutakaswa zinapopatikana kwa kiasi cha kutosha
Tunachopata hakitatosha kukidhi mahitaji, unless mtu aamue kuridhika kwa hicho hichoKutosha kwa mwanadamu ni kauli tata kwasababu huwa haturidhiki na tunachopata
Hicho unachokipata inabidi uridhike nachoTunachopata hakitatosha kukidhi mahitaji, unless mtu aamue kuridhika kwa hicho hicho
Nacho ukikiwekeza katika miradi mingine kinakutoa ktk maishaHicho unachokipata inabidi uridhike nacho
Maisha kila siku ni kupambana Ili tufanikiweNacho ukikiwekeza katika miradi mingine kinakutoa ktk maisha
Tufanikiwe kupata mahitaji ya msingi ambayo ni kula, kuvaa na pahala pa kulalaMaisha kila siku ni kupambana Ili tufanikiwe
Kulala na huduma zote za msingi ni muhimu kwa binadamuTufanikiwe kupata mahitaji ya msingi ambayo ni kula, kuvaa na pahala pa kulala
Binadamu ni neno linalotokana na muunganiko wa maneno bin na Adam yakimaanisha mwana wa AdamKulala na huduma zote za msingi ni muhimu kwa binadamu