MVB Jr
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 489
- 1,553
Ghafla bin vuuCovid-19 imechukua uhai wa ndugu zetu kimya kimya na ghafla
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ghafla bin vuuCovid-19 imechukua uhai wa ndugu zetu kimya kimya na ghafla
Bin vuu tusha wasahau wapendwa wetuGhafla bin vuu
Wetu wote mimi na weweBin vuu tusha wasahau wapendwa wetu
Wewe ni mtu wa kanda gani mkuuWetu wote mimi na wewe
Covid-19 imechukua uhai wa ndugu zetu kimya kimya na ghafla
Akaikwepa na kumkwida shingoGhafla tu alirusha ngumi bahati nzuri jamaa akaikwepa.
Akaikwepa na kumkwida shingo
Madaha yakizidi ataanguka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shingo yake ni ndefu utadhani ya Twiga akitembea anatembea huku akiipeleka mbele na nyuma taratibu anatembea kwa madaha.
Madaha yakizidi ataanguka
Sana na anavyonyanyua tairi ya mbele ni hatariAtaanguka kwa kweli yule mwenye boda boda maana manjonjo anayoyafanya ni hatari sana.
Hatari iliyopo mbele ya nchi yetu ni.kubwa mnoSana na anavyonyanyua tairi ya mbele ni hatari
HUU UZI HATOPATIKANA MSHINDI MPAKA 2090Hatari iliyopo mbele ya nchi yetu ni.kubwa mno
2090 ni pesa au mwakaHUU UZI HATOPATIKANA MSHINDI MPAKA 2090
Mwaka huo2090 ni pesa au mwaka
Huo ni utotoMwaka huo
Utoto una raha yakeHuo ni utoto
Yake achana nayo, maana yule kijana mbishiUtoto una raha yake
Kijana mbishi aachwe akipate cha mtemakuni.Yake achana nayo, maana yule kijana mbishi
Mkaa umepanda beimtema kuni katema mkaa