Adam ni jina la mtu mwenye jinsia ya kiumeBinadamu ni neno linalotokana na muunganiko wa maneno bin na Adam yakimaanisha mwana wa Adam
Kiume na kike ni jinsia mbili tofautiAdam ni jina la mtu mwenye jinsia ya kiume
Tofauti inasababishwa na maumbileKiume na kike ni jinsia mbili tofauti
Maumbile ya wanawake hutuvutia sisi wanaumeTofauti inasababishwa na maumbile
Wanaume wanapaswa kuheshimiwaMaumbile ya wanawake hutuvutia sisi wanaume
Kuheshimiwa kwa mwanaume katika ndoa ni moja ya aspects za kudumu kwa hio ndoaWanaume wanapaswa kuheshimiwa
Ndoa ni jambo la kheriKuheshimiwa kwa mwanaume katika ndoa ni moja ya aspects za kudumu kwa hio ndoa
Kheri zaidi kwa wanandoa wanaopendana pasipo kujali madhaifu yaoNdoa ni jambo la kheri
Nadhaifu ya mwenza wako ndio ukamikifu wakoKheri zaidi kwa wanandoa wanaopendana pasipo kujali madhaifu yao
Wako wajibu ni kuyakubali na kuishi nae mileleNadhaifu ya mwenza wako ndio ukamikifu wako
Milele haiwezekani maana kuna KIFO.Wako wajibu ni kuyakubali na kuishi nae milele
Kifo kitawatenganishaMilele haiwezekani maana kuna KIFO.
Kitawatenganisha wote wanadamuKifo kitawatenganisha
Wote wanadamu ni wa kupita juu ya uso wa nchiKitawatenganisha wote wanadamu
Nchi ikiwa na amani mipango itatimizikaWote wanadamu ni wa kupita juu ya uso wa nchi
Nchi ikiwa na amani mipango itatimizika
Nidhamu ni.mwanzo.wa kujitambuaItatimizika ukiwa na nidhamu
Kitawatwnganisha kimwili ila kiroho mnakua pamojaKifo kitawatenganisha
Wote wanadamu ni wa kupita juu ya uso wa nchi
Covid-19 imechukua uhai wa ndugu zetu kimya kimya na ghaflaNchi nyingi duniani zimepata maafa makubwa sana ya COVID-19.