Chimbekeha
JF-Expert Member
- Dec 1, 2018
- 1,193
- 2,172
Kupambana tunapambana sana ila hamtupi nafasi kwa kile tunachokipambania.Sasa uamke uanze kupambana
Unachokipambania usikate tamaa ipo siku utafanikiwaKupambana tunapambana sana ila hamtupi nafasi kwa kile tunachokipambania.
Utafanikiwa vipi ikiwa unaemuongelesha hajibu? Kanakwamba haoni jitihada zako.Unachokipambania usikate tamaa ipo siku utafanikiwa
Utafanikiwa vipi ikiwa unaemuongelesha hajibu? Kanakwamba haoni jitihada zako.
Wewe au yeyeZako “zetu” au za kwako “wewe”?
Yeye hapendi kuambiwa ukweli.Wewe au yeye
Yeye hapendi kuambiwa ukweli.
Nimelikwepa halina staha****** hilo neno sio zuri nimelikwepa
Staha imemkimbia huyo mtu.Nimelikwepa halina staha
Mtu ni utuStaha imemkimbia huyo mtu.
Utu hulinda ubinadamuMtu ni utu
Utu unaendana na maadili memaMtu ni utu
Ubinaadamu ni kusaidianaUtu hulinda ubinadamu
Maadili mema kwa jamii ya TanzaniaUtu unaendana na maadili mema
Maadili mema kwa jamii ya Tanzania
Pendwa unapopendekaTanzania yangu pendwa
Pendwa unapopendeka
Nisipendwe ila nijipende wenyeweUnapopendeka wewe mimi naweza nisipendwe