Abrianna
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 4,696
- 15,390
Wawili wameokolewa kwenye ajali mbayaDuniani wawili wawili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wawili wameokolewa kwenye ajali mbayaDuniani wawili wawili
Wawili mimi na yeye tunaemdana ila sijui ni naniDuniani wawili wawili
Nani atasimamia maslahi ya wananchiWawili mimi na yeye tunaemdana ila sijui ni nani
Wananchi wenyewe wapo usingiziniNani atasimamia maslahi ya wananchi
Usingizini wanaota ndoto za abunuasiWananchi wenyewe wapo usingizini
Abunuasi mwenyewe alishafariki kitamboUsingizini wanaota ndoto za abunuasi
Kitambo maisha yalikuwa rahisi mno.Abunuasi mwenyewe alishafariki kitambo
Abunuasi mwenyewe alishafariki kitambo
Kitambo maisha yalikuwa rahisi mn
Mno ilikua buku unapata wali wakushiba na chnge zinarudiKitambo maisha yalikuwa rahisi mno.
Zinarudi na kesho unatumia tenaMno ilikua buku unapata wali wakushiba na chnge zinarudi
Tena ilikua tunaenda shuleni na mia mia zetu zinatoshaZinarudi na kesho unatumia tena
Zinatosha kununua mihogo na karangaTena ilikua tunaenda shuleni na mia mia zetu zinatosha
Karanga, maandazi, chaiZinatosha kununua mihogo na karanga
Karanga, maandazi, chai
Tears kwa kiswahili tunaita machoziChai ya moto + Peppered meal = Tears
Tears kwa kiswahili tunaita machozi
Band ya wakongo kule de uto inakata maunoMachozi band
Mauno ya yule mdada m France anakatika hatari