Cytochrome p450
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 5,638
- 15,044
Nisipendwe ila nijipende wenyewe
Mwenyewe nilimaanisha hivyoWenyewe? Au umemaanisha mwenyewe!
Nakupenda pia hupaswa kutawalaHivyo hivyo nakupenda
Kutawala jukwaa sio kazi rahisiNakupenda pia hupaswa kutawala
Rahisi ni kutumia FedhaKutawala jukwaa sio kazi rahisi
Rahisi sana kama una hoja ya ushawishiKutawala jukwaa sio kazi rahisi
Ushawishi huleta hamasaRahisi sana kama una hoja ya ushawishi
Hamasa inachochea utendaji kaziUshawishi huleta hamasa
Ushawishi unaanza na mwonekano wakoRahisi sana kama una hoja ya ushawishi
Kazi ni msing wa maishaHamasa inachochea utendaji kazi
Kazi ni msing wa maisha
Maisha yangu bila wewe hayawezi kwenda vyema.Kazi ni msing wa maisha
Formula ya archimedes principle nimeisahauMaisha hayana formula
Vyema umelitambua hiloMaisha yangu bila wewe hayawezi kwenda vyema.
Hilo jukumu nakuachia weweVyema umelitambua hilo
Wewe pambana naloHilo jukumu nakuachia wewe
Nalo hilo neno,ngoja nijaribu tena.Wewe pambana nalo
Tena leo ni siku ya waalimu duniani,Nalo hilo neno,ngoja nijaribu tena.
Tena leo ni siku ya waalimu duniani,