Cytochrome p450
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 5,638
- 15,044
Sarafu au shilingi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shilingi yaua aahh tena mauaSarafu au shilingi?
Maua ya bustani hii yamependeza sanaShilingi yaua aahh tena maua
Sana, halafu yanatoa harufu nzuriMaua ya bustani hii yamependeza sana
Harufu nzuri inavutiaSana, halafu yanatoa harufu nzuri
Inavutia kama kilimanjaro kule kileleniHarufu nzuri inavutia
Kileleni ndio kipimo cha utamu wa tendo pendwaInavutia kama kilimanjaro kule kileleni
Tendo pendwa unamaanisha maombi?Kileleni ndio kipimo cha utamu wa tendo pendwa
Tendo pendwa unamaanisha maombi?
Ayapokee na kutufanyia wepesi katika magumuMaombi tunayoyaomba kila siku mola wetu ayapokee
Ayapokee na kutufanyia wepesi katika magumu
Kuyakabili kwa hekima na busaraMagumu ni mengi na yatupasa kuyakabili
Sulemani matolabusara za sulemani
matola m
la konokono usiku
taa za kichina hazidumu
hizi zitakuwa ndoto za mchana