Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Twiga mnyongeBata mzinga ndio kiwakilishi cha nchi ya uturuki, kama unavyoiona Tanzania ikiwakilishwa na twiga.
Nalog off
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Twiga mnyongeBata mzinga ndio kiwakilishi cha nchi ya uturuki, kama unavyoiona Tanzania ikiwakilishwa na twiga.
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni.Twiga mnyonge
Nalog off
Mpeni helaMnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni.
Hela ipi sasa!Mpeni hela
Sasa nimeamini fudenge lzm aoleweHela ipi sasa!
Aolewe na NdumilakuwiliSasa nimeamini fudenge lzm aolewe
Nalog off
Ndumilakuwili ni nani, nifahamishe tafadhaliAolewe na Ndumilakuwili
Tafadhali soma gazeti au jarida la Sani utamjuaNdumilakuwili ni nani, nifahamishe tafadhali
Utamjua tu hata akipitaTafadhali soma gazeti au jarida la Sani utamjua
Nalog off
Utamjua tu hata akipita
Kabisa,hasa akinichezea ndevu.Akipita napagawa kabisa
Zinakera kama ukila sana karanga mbichindevu zikiwa nyingi huwa zinakera
Sakina hapo kiwanja gani kilichotulia nije kula
mbichi na mbivu utaona nishaingia kucheza mchezo huuZinakera kama ukila sana karanga mbichi
Huu mchezo hauhitaji hasirab
mbichi na mbivu utaona nishaingia kucheza mchezo huu
HASIRA NYIMBO YA ZUCHUHuu mchezo hauhitaji hasira
Zuchu ni msanii wa nchingani tuambiane wadauHASIRA NYIMBO YA ZUCHU
Wadau leteni majibuZuchu ni msanii wa nchingani tuambiane wadau
Majibu ya ukimwi kuyangojea yataka moyo wa chumaWadau leteni majibu
Chuma kweli kweliMajibu ya ukimwi kuyangojea yataka moyo wa chuma