Ingekua maji angepata madhara hakuna maji.yanayopitishwa au kuingizwa mwilini kwa binadamu kuoitia sindano. Tuache propagandadaktari aliyemchoma raisi chanjo ya corona kadai ni maji yale hivi ni kweli
Ingekua maji angepata madhara hakuna maji.yanayopitishwa au kuingizwa mwilini kwa binadamu kuoitia sindano. Tuache propaganda
Truth or Dare?Propaganda zinaeza kuwa na ka truth
dare to talk true mbona unabisha ukweliTruth or Dare?
Ushawahi kuucheza huu mchezo?
Huu mchezo hauhitaji hasira.Truth or Dare?
Ushawahi kuucheza huu mchezo?
hasira za nini sasa kwani umeitwaHuu mchezo hauhitaji hasira.
Hasira hasara, Wahenga walisemaHuu mchezo hauhitaji hasira.
Walisema zamani ila sasa yanatokea.Hasira hasara, Wahenga walisema
Yanatokea mengi mabaya mbona hatuyasemiWalisema zamani ila sasa yanatokea.
Hatuyasemi kwa kuwa yanatugusa.Yanatokea mengi mabaya mbona hatuyasemi
Hatuyasemi kwa kuwa yanatugusa.
Hayatuumi kwasababu hatuyazingatiiYanatugusa lakn hayatuumi
Hatuyazingatii, yaani tumeyapuuza.Hayatuumi kwasababu hatuyazingatii
Tumeyapuuza ya wahengaHatuyazingatii, yaani tumeyapuuza.
Tumeyapuuza ya wahenga
Kwani una maanisha kitu ganiWahenga walikuaje kwani
Gani tena ila umepotea, upo rafikiKwani una maanisha kitu gani
Rafiki nipo sana maisha yanatupeleka mchakamchakaGani tena ila umepotea, upo rafiki
Mchakamchaka tunakimbia wote iweje utangulie mbele hata nisikuoneRafiki nipo sana maisha yanatupeleka mchakamchaka
Nisikuone kwa sababu upo busy sanaMchakamchaka tunakimbia wote iweje utangulie mbele hata nisikuone