Huli maembe kwa kuwa una umwa ulcersPendeza uwezavyo ila kwenye shughuli yangu ubwabwa huli
Ulcers ugonjwa mbaya unanitesa sana, siombei mtu aumweHuli maembe kwa kuwa una umwa ulcers
Aumwe na malaria mtu asielala ndani ya chandarua chenye dawa. Na pole Mungu ni mwema utaponaUlcers ugonjwa mbaya unanitesa sana, siombei mtu aumwe
Utapona kwa uwezo wa MunguAumwe na malaria mtu asielala ndani ya chandarua chenye dawa. Na pole Mungu ni mwema utapona
Utapona kwa uwezo wa Mungu
Anaweza hata yasiyofikirika kwa uwezo na akili zetuMungu anaweza
Anaweza hata yasiyofikirika kwa uwezo na akili zetu
Dua tu hazitoshi tunahitaji kuwa na imaniZenu zinabaki kuwa dua tu
Dua tu hazitoshi tunahitaji kuwa na imani
Juu ya mti kuna maembe yameivaImani nayo inahitaji uchamungu wa hali ya juu
Juu ya mti kuna maembe yameiva
Mabichi mahindi na mazuri yakichomwaYameiva kwa nje tu hayo, ndani ni mabichi
Mabichi mahindi na mazuri yakichomwa
Tabu niliyopata leo, Only God knows..Yakichomwa matakataka usiku wakati wa kulala lazima upate tabu
Tabu niliyopata leo, Only God knows..
My fellow comrades are heading cell right now while i am heading nyumbani.
Kumenoga mrudi mapemaNyumbani kumenoga
Kumenoga mrudi mapema
Kuchelewa darasani kunaathiri uelewa wa mwanafunziMapema ya kiswahili ni kuchelewa
Mwanafunzi wa sekondari tu!Kuchelewa darasani kunaathiri uelewa wa mwanafunzi
Mwanafunzi wa sekondari tu!