trigger_
JF-Expert Member
- Apr 9, 2019
- 758
- 1,400
Magufuli apumzike kwa amaniWatanzania bado wanamkumbuka magufuli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magufuli apumzike kwa amaniWatanzania bado wanamkumbuka magufuli
Amani ya bwama iwe nasi kila wakatiMagufuli apumzike kwa amani
wakati ambao sikutegemea kupata pesaAmani ya bwama iwe nasi kila wakati
Pesa inatafutwa kwa jashowakati ambao sikutegemea kupata pesa
Jasho lako litalipwaPesa inatafutwa kwa jasho
Litalipwa kila baya unalo mfanyia mwenzakoJasho lako litalipwa
Mwenzako akinyolewa wewe zako tia maji,Litalipwa kila baya unalo mfanyia mwenzako
Maji ya kunywa baadhi ya mikoa bado ni changamoto.Mwenzako akinyolewa wewe zako tia maji,
Changamoto hiyo inatokana na uongozi mbovuMaji ya kunywa baadhi ya mikoa bado ni changamoto.
Off to daily activitiesChangamoto hiyo inatokana na uongozi mbovu
Nalog off
Activities ndo shughuliOff to daily activities
Shughuli mbona pevuActivities ndo shughuli
Shughuli mbona pevu sana nchi jiraniShughuli mbona pevu
Shughuli mbona pevu sana nchi jirani
Nalog off
Chupuchupu maana yake kunusurikaJirani yangu aliponea chupuchupu
Chupuchupu maana yake kunusurika
Muungwana akivuliwa nguo huchutama,
Huchutama ili asioneshe kendeMuungwana akivuliwa nguo huchutama,