Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Kende zisibanwe sana zinatakiwa ziwe huru ili kupunga upepo
Upepo usiwe mkali sanaKende zisibanwe sana zinatakiwa ziwe huru ili kupunga upepo
Nalog off
Mkali sana utaziharibuUpepo usiwe mkali sana
Utaziharibu kwa uzembe pekeeMkali sana utaziharibu
Nalog off
Uzembe pekee husababisha viongozi kufeliUtaziharibu kwa uzembe pekee
Africa tumejaliwa madini lakini tumekosa mbinu za kuzitumia na kuzichimba kwa wingi tufanyaje sasaKenya ni Nchi ilio bara la Africa
Mungu akulinde unigiapo na utokapo sio kwa kunichunia huku nakata rufaaUtapona kwa uwezo wa Mungu
Anaweza yote ambao mwanadamu hayaweziMungu anaweza
Zetu tunu tuzitunzeAnaweza hata yasiyofikirika kwa uwezo na akili zetu
Imani bila matendo ni kazi bureDua tu hazitoshi tunahitaji kuwa na imani
Nyumbani kuna ugeniTabu niliyopata leo, Only God knows..
My fellow comrades are heading cell right now while i am heading nyumbani.
Mapema mwishoni mwa week napaa zangu na ungoKumenoga mrudi mapema
Mwanafunzi bora anafaulu bila kupiga chaboKuchelewa darasani kunaathiri uelewa wa mwanafunzi
Kufeli maisha ni kufeli kuyapangaUzembe pekee husababisha viongozi kufeli
Nalog off
Kuyapanga matokeo ni kosa katika mpira wa miguuKufeli maisha ni kufeli kuyapanga
Mpira wa miguu wa bongo kavu sanaKuyapanga matokeo ni kosa katika mpira wa miguu
Miguu ya Ronaldo akitia shuti nyavu zinachekaKuyapanga matokeo ni kosa katika mpira wa miguu
Sana sana nini kifanyike kufanya mpira wetu wa bongo ukuweMpira wa miguu wa bongo kavu sana
Nalog off
Kuufanya mpira wa bongo ukuwe inatubidi tuache unafiki wa usimba na uyangaSana sana nini kifanyike kufanya mpira wetu wa bongo ukuwe
Uyanga unakufanya uwe mbishi maana yanga ni wabishiKuufanya mpira wa bongo ukuwe inatubidi tuache unafiki wa usimba na uyanga
Nalog off