Mamserenger
JF-Expert Member
- Oct 14, 2019
- 1,156
- 2,092
Mwuonekano wao tofauti sana na Avatari yaoooWarembo kwasababu wanajali muonekano wao
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwuonekano wao tofauti sana na Avatari yaoooWarembo kwasababu wanajali muonekano wao
Avatar Yao ni copy paste ila NaAmini wanastahili sifa kemkem...
Kemkem sifa ni haki yao[emoji2]Avatar Yao ni copy paste ila NaAmini wanastahili sifa kemkem...
Haki Yako niwatunze kwani mcheza kwao !!!Kemkem sifa ni haki yao[emoji2]
Mcheza kwao hutunzwaHaki Yako niwatunze kwani mcheza kwao !!!
Hutunzwa Ili apate kuboresha fani na usanii na utamaduni..Mcheza kwao hutunzwa
Utamaduni wetu unakataza kuwa kiherehereHutunzwa Ili apate kuboresha fani na usanii na utamaduni..
Kiherehere Cha wasichana wadogo kinawaponza!!Utamaduni wetu unakataza kuwa kiherehere
Kinawaponza waache kiherehereKiherehere Cha wasichana wadogo kinawaponza!!
Kiherehere chao cha kupenda hela za wanaume kinasababisha watumike kama karanga za kuonjaKinawaponza waache kiherehere
Kuonja kabla ya kuoa ni jambo la lazima ktk mahusianoKiherehere chao cha kupenda hela za wanaume kinasababisha watumike kama karanga za kuonja
Mahusiano ya siku hizi ni mihela yako tuuKuonja kabla ya kuoa ni jambo la lazima ktk mahusiano
Nalog off
Tuungane tutokomeze..Mahusiano ya siku hizi ni mihela yako tuu
Tuungane tutokomeze..
Rushwa ni adui wa hakiTutokomeze rushwa
Haki ya kila mtu kuishi.Rushwa ni adui wa haki
Haki ya kila mtu kuishi.
Kujinafasi ni muhimKuishi kwa kujinafasi
Kujinafasi ni muhim
Pumzi yake ya mwisho ilipokata macho yakapanda juu yakamfika mauti..Muhimu pumzi