Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Sana sana tutaishi miaka sabini na ushee!!mno ni sawa na kusema ππππ.
Ushee ni neno lenye silabi ngapi eti
Msoto gani nduzangu gari ni usafiri wenye uhakika .Gari lenyewe la mkopo benki ikimdai anarudi kwenye msoto
Uhakika hatuna, itabidi tuthibitishe kama usemayo ni kweliMsoto gani nduzangu gari ni usafiri wenye uhakika .
Kweli ninatamka Kwa haki bila kuchukuwa dhamana...Uhakika hatuna, itabidi tuthibitishe kama usemayo ni kweli
Dhamana hazitolewi mahakamani Kwa wenye kesi za mauajiKweli ninatamka Kwa haki bila kuchukuwa dhamana...
Mauaji ya kikatili yamepungua...Dhamana hazitolewi mahakamani Kwa wenye kesi za mauaji
Nalog off
Yamepungua sababu serikali iko makiniMauaji ya kikatili yamepungua...
Yamepungua sababu serikali iko makini
Iko makini Kwa sbb wanatumia intelejesia..
Usalama wetu wote ni mshikamanoIntelejensia s ndo hawa afisa usalama
Mshikamano huleta mafanikioUsalama wetu wote ni mshikamano
Mafanikio yanatokana na itikadi..Mshikamano huleta mafanikio
Itikad hiz n za kigaidiMafanikio yanatokana na itikadi..
Kigaidi kivipi tena wajubaItikad hiz n za kigaidi
Wajuba mnavaa majubaKigaidi kivipi tena wajuba
Itikad hiz n za kigaidi
Majuba yameshonwa kisasa..Wajuba mnavaa majuba
Kisasa ndo utandawaziMajuba yameshonwa kisasa..