Liver leo kazingua, West Ham United msimu huu wameanza vizuriKipigo kimeua unbeaten history ya liver
Kigoma huko mwisho wa nchi wanapakimbia wenyeji
Sana na wachawi naambiwa balaaWenyeji wake ni wavivu sana.
Mbili bila majibu Manchester United jana alichezea kipigo
Kumi kwa sifuri wangewafedhehesha watu wazima wale, ni kweli Liverpool walikuwa wastaarabu na hata hivyo 0-5 kile kipigo kilikuwa kitakatifuKipigo kitakatifu kilikuwa 5-0 toka Liverpool na walikuwa wastaarabu vinginevyo zingefika hata kumi.
Kumi kwa sifuri wangewafedhehesha watu wazima wale, ni kweli Liverpool walikuwa wastaarabu na hata hivyo 0-5 kile kipigo kilikuwa kitakatifu
Mbili za kufutia machozi kidogo inaleta heshima kuliko kupigwa bila majibuKiatakatifu sana Mkuu na wao leo kijasho chembamba kimewatoka baada ya West Ham kuwachapa tatu mbili.
Mbili za kufutia machozi kidogo inaleta heshima kuliko kupigwa bila majibu
Ulivuja kweli mtihani?, je unakubaliana na hayo madai?Majibu ya wanaosomea udaktari mwaka wa pili yamezuiliwa kwa madai kwamba mtihani ulivuja.
Ulivuja kweli mtihani?, je unakubaliana na hayo madai?
Sijaziona siku zangu kwa muda wa wiki tatu sasa, hayo maneno nikiyasikia huwa kiroho kinafanya PAAMadai hayo sijui chochote Mkuu na hadi hii leo details husika sijaziona.
Sijaziona siku zangu kwa muda wa wiki tatu sasa, hayo maneno nikiyasikia huwa kiroho kinafanya PAA
Mimba kupewa taarifa yake siku zote haizoelekiPAA!!! halafu unaanza kuwa na wasiwasi na kuwaza je, ana mimba?
Mimba kupewa taarifa yake siku zote haizoeleki
Ni raha tu, umenikumbusha kibao cha AY, muda unakwendaHaizoeleki kwa sababu ulikuwa huna mpango huo lakini ikiwa ndani ya ndoa ni raha tu.
Ni raha tu, umenikumbusha kibao cha AY, muda unakwenda
Huu muda acha na mimi niufanyie shughuli nyingine, pamoja sana KiongoziUnakwenda sana nami nina shughuli nataka nifanye muda huu.
Huu muda acha na mimi niufanyie shughuli nyingine, pamoja sana Kiongozi