Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Kipigo kitakatifu kilikuwa 5-0 toka Liverpool na walikuwa wastaarabu vinginevyo zingefika hata kumi.
Kumi kwa sifuri wangewafedhehesha watu wazima wale, ni kweli Liverpool walikuwa wastaarabu na hata hivyo 0-5 kile kipigo kilikuwa kitakatifu
 
Kiatakatifu sana Mkuu na wao leo kijasho chembamba kimewatoka baada ya West Ham kuwachapa tatu mbili.

Kumi kwa sifuri wangewafedhehesha watu wazima wale, ni kweli Liverpool walikuwa wastaarabu na hata hivyo 0-5 kile kipigo kilikuwa kitakatifu
 
Back
Top Bottom