Killeville
JF-Expert Member
- Jan 19, 2015
- 410
- 1,218
Mkuu wa kaya nimefika.Sijaelewa swali lako lakini kemkem maana yake ni nyingi Mkuu.
Nimefika baada ya siku nyingi kupotea humuMkuu wa kaya nimefika.
Humu ndani walikumiss sanaNimefika baada ya siku nyingi kupotea humu
Humu Uzini kwa kweli umepotea na kuadimikaNimefika baada ya siku nyingi kupotea humu
Kuadimika kunaendana na majukumuHumu Uzini kwa kweli umepotea na kuadimika
Majukumu yakiwa mengi mwili uchokaKuadimika kunaendana na majukumu
Majukumu yakiwa mengi mwili uchoka
Leo jumanneUchoka mpaka unakosa usingizi kama tubavyokesha leo
Juma none ya leo kama naweza pokea muujiza mkubwa sana.Leo jumanne
Sana endelea kusubiri kwa imaniJuma none ya leo kama naweza pokea muujiza mkubwa sana.
Imani ni tiba yenye nguvu katika maisha ya mwanadamu apitiapo changamotoSana endelea kusubiri kwa imani
Changamoto ni nyingiImani ni tiba yenye nguvu katika maisha ya mwanadamu apitiapo changamoto
Nyingi inayozalisha mbegu ni mtambo !!Changamoto ni nyingi
Sana endelea kusubiri kwa imani
Haki ikipotea dhulma hutamalaki na kuwa madaraka..Imani ya Watanzania wengi kwenye mahakama kutenda haki imepotea.
Madaraka selemanHaki ikipotea dhulma hutamalaki na kuwa madaraka..
Mfalme wa rhymes alikuwaga Selemani Msindi.
Msindi kaishiwa....Mfalme wa rhymes alikuwaga Selemani Msindi.
Kaishiwa sana siku hizi.