Abrianna
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 4,696
- 15,390
Mtaji wa biashara ya maziwa ni ng'ombeUzima na Afya yangu ni Mtaji !!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtaji wa biashara ya maziwa ni ng'ombeUzima na Afya yangu ni Mtaji !!
Mtaji wa biashara ya maziwa ni ng'ombe
Kapewa mtaji akashindwa kufanya biasharaNg’ombe amekosa ndevu lakini mbuzi kapewa
Biashara ya ngono imeshamiri sana siku hizi.Kapewa mtaji akashindwa kufanya biashara
Hizi habari zimenishtua sanaBiashara ya ngono imeshamiri sana siku hizi.
Zimenishtua sana matangazo yanayotembea barabarani Kwa Loud speaker !!Hizi habari zimenishtua sana
Zimenishtua sana matangazo yanayotembea barabarani Kwa Loud speaker !!
Hayo ndiyo mambo ya mjini !!Speaker aweke sheria kuzuia magari hayo
Hayo ndiyo mambo ya mjini !!
Mjini cha bure ni salamuHayo ndiyo mambo ya mjini !!
Mambo mazuri hayataki harakaMjini kuna mambo
Haraka ya kutoa talaka inaleta majuto baadae..Mambo mazuri hayataki haraka
Haraka ya kutoa talaka inaleta majuto baadae..
Wewe upo vizuri na muelewa ..baadae unaweza ukafa mbwa wew
Wewe upo vizuri na muelewa ..
Simpendi nguruwe Kwa sbb anakula kinyesi na uchafu..namuelewa lkn simpendi
Simpendi nguruwe Kwa sbb anakula kinyesi na uchafu..
Pia nilimuona yule askwri alietoa ushahidi usioeleweka mahakamaniuchafu cyo kinyesi tuu hadi snitch pia
Pia nilimuona yule askwri alietoa ushahidi usioeleweka mahakamani
Jamba Jamba hukithiri pale unapoitwa kikaoni mbele ya wazee wa Mila..mahakamani asikuambie mtu panatia jamba jamba