Chimbekeha
JF-Expert Member
- Dec 1, 2018
- 1,193
- 2,172
Sana sana anakuja na kutuambia habari za YESU na Mkewe
Mkewe kwani yupo? Nasikia alienda kumsalimia kwaoSana sana anakuja na kutuambia habari za YESU na Mkewe
Kwao leo kuna shereheMkewe kwani yupo? Nasikia alienda kumsalimia kwao
Sherehe kaenda bila kutualikaKwao leo kuna sherehe
Kutualika wakati hatuna hela ni kutukomoaSherehe kaenda bila kutualika
Kutukokomoa bila kuelewa mazingira yetu !!Kutualika wakati hatuna hela ni kutukomoa
Macho makavu bila Kuona aibu !!yetu macho!!
Aibu tuondoeMacho makavu bila Kuona aibu !!
Tuondoe vikwazo na ukiritimba....Aibu tuondoe
Ukiritimba na ujingaTuondoe vikwazo na ukiritimba....
Ujinga bado ni adui wa TaifaUkiritimba na ujinga
Ujinga bado ni adui wa Taifa
Nalog off
Kweli tumeaibika si kitotoTaifa stars ni ya kutuaibisha kwenye ardhi yetu kweli?
Kitoto na bado tutabaki watoto 4eva Hadi tujikosoe na kujirekebisha !!Kweli tumeaibika si kitoto
Kujirekebisha ndicho kitu hawa watawala hawapendi kukisikia kabsaKitoto na bado tutabaki watoto 4eva Hadi tujikosoe na kujirekebisha !!
Kabisa tulibandikwa goli tatu Bila ..Kujirekebisha ndicho kitu hawa watawala hawapendi kukisikia kabsa
Bila uongo na kudanganyana stars ni utopolo mzaziKabisa tulibandikwa goli tatu Bila ..
Bila uongo na kudanganyana stars ni utopolo mzazi
Friday ni siku ya mapumzikoMzazi leo ni Black Friday