Wa mwisho ndiyo mshindi

Kumpiga kibuti mtumishi Pep ni jambo gumu kuliko ngamia kupenya kwenye tundu la sindano.
Tunazimiana mimi na yeye.
yeye pia alinipm akaniambia kafa kaoza kwako,yaani kama yeye angekuwa gari basi wewe ni matairi,hajiwezi bila ya wewe kutembea hawezi, zaidi amenieleza umrembo lakini hujikwezi kama ni mbingu wewe ni mbaramwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…