Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

arusha ni mojawapo ya mikoa ya tanzania inayopokea watalii wengi sana kila mwaka
 
2015 CHADEMA kitakuwa chama tawala cha Kilimanjaro na Arusha.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Arusha na Kilimanjaro ni mikoa ambayo CCM kitapata shida sana mwaka 2014 katika chaguzi za serikali za mitaa.
 
Mitaa ya hapa Dar Es Salaam CHADEMA haitaweza kushinda kwasababu wananchi wake ni werevu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mitaa ya hapa Dar Es Salaam CHADEMA haitaweza kushinda kwasababu wananchi wake ni werevu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Werevu wengi katika jiji la Dar es salaam wanaishi majimbo ya Kawe na Ubungo, ambayo wabunge wake ni wa CHADEMA.
 
Back
Top Bottom