Wa mwisho ndiyo mshindi

Mkali mno ni ule unaotokea baharini.
Baharini nimeshapachoka, siku ya 19 leo naoga humo....maji hakuna.

_________________

Yote kwa yote nafarijika sana kwamba mpendwa wangu ameufikia 2022 akiwa na afya tele.

Bessings kwenu ndugu zangu Mbaga III, HARUFU, na wanajamvi wote hapa.

Familia yetu na mrembo wangu tunawatakia baraka tele na mafanikio.
 
"Roho mbaya tu ya kutotaka kunialika" - Moyo wangu ni mzito sana, haya maneno ya mpendwa wangu yamenitia ufa moyoni, yameupasua katikati

Yameupasua katikati ni baadhi ya visingizio

Yaani nilijua tu,nilijua kabisa atapotea humuπŸ˜’
 
Kupoozwa ni namna flani ya kumfariji sdchk
Sdchk ya nini tena Mungu akikubariki mtoto aina ya Saint Anne?

Kwanza ana hofu ya Mungu
Pili ni mzuri wa asili
Tatu ni charming...a very good buddy to be around
Nne ni wife material
Tano ni mama mzuri kwa future kids wetu
Sita ana 'good brain'


Hapo sijazungumzia cute face fulani iliyojaa haiba

Did I mention her gorgeous legs?
 
Gorgeous legs gani yenye tege πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Bado kesi yetu ipo palepale,usidhani nitapotezea kirahisi.
 
Pep mbona uneshusha hadith[emoji3][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…