eminent luxy
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 343
- 358
Ivyo pep alisem atoki home paka kelel ziisheHadithi na mashairi ya kusadikika ameandika na anaijua mwenyewe sababu ya kufanya hivyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ivyo pep alisem atoki home paka kelel ziisheHadithi na mashairi ya kusadikika ameandika na anaijua mwenyewe sababu ya kufanya hivyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hajaifuta kwasababu nilimkwaza.Ametabasamu ila bado kesi ipo palepale hajaifuta.
Ziishe wapi?Ivyo pep alisem atoki home paka kelel ziishe
Familia yetu isihusishwe na huu uchoyo wa kutonialika sikukuu.Hajaifuta kwasababu nilimkwaza.
Haya yote ni katika harakati za mimi kuhangaika huko maporini kwaajili ya familia yetu
Baba mtumishi alikua anapambana huku na kule kuhakikisha sikukuu zijazo atazisheherekea better half wake akiwa ametulia kifuani mwake ana deka dekaFamilia yetu isihusishwe na huu uchoyo wa kutonialika sikukuu.
Mama mtumishi amegoma kabisa kumuelewa baba mtumishi.
Ana deka deka ati😂Baba mtumishi alikua anapambana huku na kule kuhakikisha sikukuu zijazo atazisheherekea better half wake akiwa ametulia kifuani mwake ana deka deka
Sitaki kuona majukumu yanatu set apart kabisa ntakapokuweka ndani.Ana deka deka ati😂
Kifua kizuri unacho,sikatai.
Unanipamba kwa majina yote leo ila sitaki
Kubembeleza tu unajua😂😂😂😂Sitaki kuona majukumu yanatu set apart kabisa ntakapokuweka ndani.
Mapema tu utakapokua mke wa baba mtumishi, I will hold on to you.....forever.
Kwa kifupi tu ni kwamba, nothing will set us apart kikifika hiko kipindi
Unajua ni namna gani nilikua naihitaji hiyo 'love' reaction?Kubembeleza tu unajua😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂Unajua ni namna gani nilikua naihitaji hiyo 'love' reaction?
Sana aisee mkuu😂😂😂😂😂😂
Reaction hiyo sikuwa na mpango kabisa wa kukupa leo.
Umeitafuta sana.
Muone🤣Sana aisee mkuu
Muone mrembo wa baba mtumishi amefurahi.Muone🤣
Sana nikinuna nakuwa mbogo😂Muone mrembo wa baba mtumishi amefurahi.
Asubuhi alikua amenikazia balaa. Nikam quote kwenye uzi wa Pasco hata hakutokea
Ila kale ka uso kake kakinuna kanapendeza sana
Kukulinda wewe na kuhakikisha unakua mwenye furaha siku zote hili ni jukum langu.Sana nikinuna nakuwa mbogo😂
Nina pande 2,,huu upande wa pili kuuonyesha ni hadi mtu anifanyie ujinga.
Happy new year baba mtumishi😘
Ukawe mwaka wa ushindi kwako na uwapendao.
Bwana akubarikie na kukulinda.
😘😘😘😘😘😘.Kukulinda wewe na kuhakikisha unakua mwenye furaha siku zote hili ni jukum langu.
Amen mama mtumishi, usiache kuendelea kuniombea kama ambavyo hukauki kinywani mwa Baba mtumishi.
_______________________
Huo upande wa pili najua namna ntakua nau solve pindi tutakapokua mwili mmoja, maana kusema kweli kutofautiana hakutakosekana
Sisi ni wanadamu
Adhabu kubwa kwake baba mtumishi itakua kumpoteza mama mtumishi😘😘😘😘😘😘.
Sisi ni wanadamu tunaopendana na kila mmoja anakufa na tai shingoni .
.....
Amini mama mtumishi anakuombea na anakuwazia yaliyo mema.
Anakupenda mno kiasi kwamba ukiwa mbali naye hata kwa siku 2 ni adhabu kubwa kwake.
[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Adhabu kubwa kwake baba mtumishi itakua kumpoteza mama mtumishi
________
Team ya mama mtumishi jana ilikua kama baiskeli ya barafu iliyokua inaendeshwa kwenye jua kali la daslama [emoji1787][emoji1787]
Kwingne mama mtumishi asiende maana baba mtumishi atapata tabu sana[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daslama na lile joto kali niliangalia mechi nikiwa navuja jasho...
Ila bado mlishindwa kutamba.
..........................
Mama mtumishi hawezi kwenda kwingine[emoji6]