Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Hajaifuta kwasababu nilimkwaza.

Haya yote ni katika harakati za mimi kuhangaika huko maporini kwaajili ya familia yetu
Familia yetu isihusishwe na huu uchoyo wa kutonialika sikukuu.

Mama mtumishi amegoma kabisa kumuelewa baba mtumishi.
 
Ana deka deka ati😂
Kifua kizuri unacho,sikatai.

Unanipamba kwa majina yote leo ila sitaki
Sitaki kuona majukumu yanatu set apart kabisa ntakapokuweka ndani.

Mapema tu utakapokua mke wa baba mtumishi, I will hold on to you.....forever.

Kwa kifupi tu ni kwamba, nothing will set us apart kikifika hiko kipindi
 
Kubembeleza tu unajua😂😂😂😂
 
Muone mrembo wa baba mtumishi amefurahi.

Asubuhi alikua amenikazia balaa. Nikam quote kwenye uzi wa Pasco hata hakutokea

Ila kale ka uso kake kakinuna kanapendeza sana
Sana nikinuna nakuwa mbogo😂
Nina pande 2,,huu upande wa pili kuuonyesha ni hadi mtu anifanyie ujinga.

Happy new year baba mtumishi😘
Ukawe mwaka wa ushindi kwako na uwapendao.
Bwana akubarikie na kukulinda.
 
Kukulinda wewe na kuhakikisha unakua mwenye furaha siku zote hili ni jukum langu.

Amen mama mtumishi, usiache kuendelea kuniombea kama ambavyo hukauki kinywani mwa Baba mtumishi.

_______________________

Huo upande wa pili najua namna ntakua nau solve pindi tutakapokua mwili mmoja, maana kusema kweli kutofautiana hakutakosekana

Sisi ni wanadamu
 
😘😘😘😘😘😘.
Sisi ni wanadamu tunaopendana na kila mmoja anakufa na tai shingoni .

.....

Amini mama mtumishi anakuombea na anakuwazia yaliyo mema.

Anakupenda mno kiasi kwamba ukiwa mbali naye hata kwa siku 2 ni adhabu kubwa kwake.
 
Adhabu kubwa kwake baba mtumishi itakua kumpoteza mama mtumishi

________

Team ya mama mtumishi jana ilikua kama baiskeli ya barafu iliyokua inaendeshwa kwenye jua kali la daslama 🤣🤣
 
Adhabu kubwa kwake baba mtumishi itakua kumpoteza mama mtumishi

________

Team ya mama mtumishi jana ilikua kama baiskeli ya barafu iliyokua inaendeshwa kwenye jua kali la daslama [emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daslama na lile joto kali niliangalia mechi nikiwa navuja jasho...
Ila bado mlishindwa kutamba.

..........................
Mama mtumishi hawezi kwenda kwingine[emoji6]
 
Kwingne mama mtumishi asiende maana baba mtumishi atapata tabu sana

________

Hilo joto sio zuri, ndo maana ndani ya miaka michache ijayo itabidi mama mtumishi ahamie HQ za East Africa
 
Back
Top Bottom