Wa mwisho ndiyo mshindi

Mimi ckuignore wala nini ila nakutakia kheri tuu!
 
Mmh,,, Sawa, by the way Nadhani ni vyema uka mchukulia poa Mkuu aliye leta maseke, Tusambaze UPENDO 2022... OKAY
 
Hahah

Hadi umeharibu flow.

Ntamwambia Mod akulambe ban ya wiki kwa kutokufuata mtiririko

My.....(hiyo mabano isiwe tu bia yetu)
Bia yetu nilikuwa fan wake sana,,alikuwa ananikosha.

Hayo mabano utamalizia mwenyewe.
Najua unajua namna ya kujaza😉
 
Baba mtumishi anasema umevaa gauni/skirt nzuri.

Mtumishi mwenzetu Chris yupo Arusha....unfortunately sipo kule, ila namfuatilia kwa karibu livestreaming Youtube


_____________________________________

Pisi yangu ina mawe [emoji3526]
Mawe wapi[emoji23],ya watu hayo baba.
Tuendelee kuupiga mwingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…