Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Mama mtumishi anasema ile ya bila michoro ulikataa kugeuka.Michoro?
Ona sasa umeharibu flow ya uzi.
Sema suu nimwite Mod
Nilishakupa isiyokua na michoro mama mtumishi
Mama mtumishi anasahauMama mtumishi anasema ile ya bila michoro ulikataa kugeuka.
Tafadhali usiutese moyo wa mama mtumishi.
Kumbukumbu ya mapinduzi ya zenjiMama mtumishi anasahau
Nilikua nimesimama ofsini.
Kwenye kioo, bila michoro.
Picha ya tatu kutoka ya leo.
Baba mtumishi anakuaga mzuri sana kwenye kumbukumbu
Kumbukumbu za mama mtumishi zipo vizuri na hiyo picha anayoMama mtumishi anasahau
Nilikua nimesimama ofsini.
Kwenye kioo, bila michoro.
Picha ya tatu kutoka ya leo.
Baba mtumishi anakuaga mzuri sana kwenye kumbukumbu
Kumbukumbu za mama mtumishi zipo vizuri na hiyo picha anayo
Ila anataka nyingine,tofauti na ile ya kwenye kioo.
Kiooo hakidanganyi mama
Nimekumbuka mistari ya chalii wa pale Chunya 🤣🤣
Mapimnduzi ya Zenji Simba atapiga mtuKumbukumbu ya mapinduzi ya zenji
Please please nyingi sentensi haielewekiChunya nini bana[emoji19] Pep
Anataka ile umeinua simu bila michoro.
Please babe please[emoji8][emoji8]
Haieleweki kwasababu hutaki kuelewaPlease please nyingi sentensi haieleweki
Hapa ndo iwe mwisho kabisaHabari wanaJF,
Ninaomba tucheze mchezo unaitwa "wa mwisho ndo mshindi"......... Ni mchezo rahisi sana, unaanzisha sentensi kwenye neno la mwisho la sentensi aloandika mwenzako.
Mfano:
Ualimu Tanzania ni kazi ngumu kiasi
Kiasi ambacho kama hukuzoea maisha ya tabu, utalalama kila siku
Siku uianze vizuri bwana, ukiianza vibaya lazima utukane mwenzio
Mwenzio ni mtu ambaye mnaweka hisia zenu pamoja bila kusalitiana kama dr. Ulimboka na madkatari
Madaktari wa Tanzania wanahitaji kulipwa zaidi........ (tuendelee kwa mtindo huo wanaJF, wa mwisho ndo winner.. Karibuni sana)
Kabisa haiwez kuwaHapa ndo iwe mwisho kabisa
Kuwa wamwisho haiwezekani aiseeKabisa haiwez kuwa
Aisee kitambo sana, Mdau upo?Kuwa wamwisho haiwezekani aisee
Upo wapi siku hiziAisee kitambo sana, Mdau upo?
Hizi ni zama za Ndugai yupo siasan ananukisha kama jina lakeUpo wapi siku hizi
Jina lake linavuma kwenye mitaa.Hizi ni zama za Ndugai yupo siasan ananukisha kama jina lake
Mitaa ndio ila sio yote sema kuna mtaa nahisi wa siasa alinuka Harufu mbaya mpaka nikajikuta namu ignore.Jina lake linavuma kwenye mitaa.
Namu ignore yeyote atakayenivunjia heshima.Mitaa ndio ila sio yote sema kuna mtaa nahisi wa siasa alinuka Harufu mbaya mpaka nikajikuta namu ignore.
Heshima ni kitu cha bure, ni vizuri kuheshimiana hata kama hatujuaniNamu ignore yeyote atakayenivunjia heshima.