Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Mama mtumishi anasema ile ya bila michoro ulikataa kugeuka.
Tafadhali usiutese moyo wa mama mtumishi.
Mama mtumishi anasahau

Nilikua nimesimama ofsini.

Kwenye kioo, bila michoro.

Picha ya tatu kutoka ya leo.

Baba mtumishi anakuaga mzuri sana kwenye kumbukumbu
 
Mama mtumishi anasahau

Nilikua nimesimama ofsini.

Kwenye kioo, bila michoro.

Picha ya tatu kutoka ya leo.

Baba mtumishi anakuaga mzuri sana kwenye kumbukumbu
Kumbukumbu za mama mtumishi zipo vizuri na hiyo picha anayo
Ila anataka nyingine,tofauti na ile ya kwenye kioo.
 
Chunya nini bana[emoji19] Pep,ile picha inamtia mama mtumishi majaribuni[emoji23],usiniulize kivipi.
Anataka ile umeinua simu bila michoro.
Please babe please[emoji8][emoji8]
 
Habari wanaJF,

Ninaomba tucheze mchezo unaitwa "wa mwisho ndo mshindi"......... Ni mchezo rahisi sana, unaanzisha sentensi kwenye neno la mwisho la sentensi aloandika mwenzako.

Mfano:

Ualimu Tanzania ni kazi ngumu kiasi

Kiasi ambacho kama hukuzoea maisha ya tabu, utalalama kila siku

Siku uianze vizuri bwana, ukiianza vibaya lazima utukane mwenzio

Mwenzio ni mtu ambaye mnaweka hisia zenu pamoja bila kusalitiana kama dr. Ulimboka na madkatari

Madaktari wa Tanzania wanahitaji kulipwa zaidi........ (tuendelee kwa mtindo huo wanaJF, wa mwisho ndo winner.. Karibuni sana)
Hapa ndo iwe mwisho kabisa
 
Back
Top Bottom