Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Nini maana ya hilo nenoVAR Ni Nini?
Nalog off
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nini maana ya hilo nenoVAR Ni Nini?
Nalog off, sitaki kuitumia tenaNini maana ya hilo neno
Nalog off
Neno la siku ya leoNini maana ya hilo neno
Nalog off
Leo ni jumatano, namshukuru Mungu nimeamka salamaNeno la siku ya leo
Salama jabir auLeo ni jumatano, namshukuru Mungu nimeamka salama
Au yule mwingineSalama jabir au
Mwingine yupo uku kama yeyeAu yule mwingine
Yeye? Ilo Neno nalifananisha na mayeleMwingine yupo uku kama yeye
Mayele ndio nin?Yeye? Ilo Neno nalifananisha na mayele
Nini? Ni jini!Mayele ndio nin?
Jini makata anapokuwa mwilini mwa binaadam na dalili zakeNini? Ni jini!
Nini maana ya hilo neno?VAR Ni Nini?
Neno hilo VAR kirefu chake ni Video Assistant Referee, kuna kingine unataka kiongezewe nyama Kiongozi? au umeridhika na jibuNini maana ya hilo neno?
Nalog off
Jibu limetulia kiongozi,ubarikiwe.Neno hilo VAR kirefu chake ni Video Assistant Referee, kuna kingine unataka kiongezewe nyama Kiongozi? au umeridhika na jibu
Ubarikiwe na wewe pia, Kiongozi habari za kupotea?Jibu limetulia kiongozi,ubarikiwe.
Nalog off
Kiongozi mi nipo poa kwa jeuri ya chamaUbarikiwe na wewe pia, Kiongozi habari za kupotea?
Uko poa Kiongozi?
Chama cha mapinduzi au ChademaKiongozi mi nipo poa kwa jeuri ya chama
Nalog off
Chadema hawana Uelekeo[emoji1787]Chama cha mapinduzi au Chadema
Uelekeo wako upiChadema hawana Uelekeo[emoji1787]
Upi ni mchezo hatari zaidi kwa upande wako?Uelekeo wako upi