Gwata Gwan
Member
- Aug 21, 2019
- 29
- 41
Pablo Escobar alikuwa muuzaji mkubwa wa madawa ya kulevya
Saptondondo huu ni msamiati kutoka kwenye Kamusi yakoKulevya kwa kutumia madawa kunasababisha saptondondo
Yakowapi mapenzi oohoooSaptondondo huu ni msamiati kutoka kwenye Kamusi yako
Mapenzi yapo India..oohooooYakowapi mapenzi oohooo
Oohoooo, Sina nguvu ya kureplyMapenzi yapo India..oohoooo
Kureply bila kusoma uzi kilichoandikwa ni hatariOohoooo, Sina nguvu ya kureply
hatari,ilianza pale ambapo vijana wa morogoro walichomoa betri.Kureply bila kusoma uzi kilichoandikwa ni hatari
Betri la simu siku hizi halitolewi kabisahatari,ilianza pale ambapo vijana wa morogoro walichomoa betri.
Kabisa kwa ukamilifuBetri la simu siku hizi halitolewi kabisa
Ukamilifu hakuna alienao hapa chini ya hili jua letuKabisa kwa ukamilifu
Jua letu linavyochoma ni kama limeshukaUkamilifu hakuna alienao hapa chini ya hili jua letu
Limeshuka kutoka umbali wa Kilomita 150 hadi karibu na DuniaJua letu linavyochoma ni kama limeshuka
Dunia hadaa ulimwengu shujaa .Limeshuka kutoka umbali wa Kilomita 150 hadi karibu na Dunia
Shujaa wa Afrika anakumbukwa kwa mazuri yakeDunia hadaa ulimwengu shujaa .
Yake mazuri yafuatwe na mabaya yaachweShujaa wa Afrika anakumbukwa kwa mazuri yake
Z anto alienda wapiYake mazuri yafuatwe na mabaya yaachwe
Nalog off Z
Wapi alipopotelea Kiongozi Washawasha?Z anto alienda wapi
Kupotea kote huko umerudi bila hela
Hela mpaka mwisho wa mwezi.Kupotea kote huko umerudi bila hela